Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Habari wakuu, kama wewe ni mwalimu toka Masasi mjini na upo tayari kuja Mtwara mjini tafadhali nipigie tubadilishane vituo. Namba yangu ni 0716 149 747. Ahsanteni sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba unisaidie mawasiliano ya huyo mwalimu ukiweza.Kama sijakosea hili tangazo nililiona linatembezwa masasi day sec siku ya semina flani!! Nenda mtandi sec kuna mwl anaitwa jumapili geofrey anatqka kuja mtwara mjini...
Nipo mtwara town ndugu,.. #SINO TZ SEC af sina mtu ninayemfahamu pale masasi ila last time tumeonana aliniambia shule inaitwa mtandi.Naomba unisaidie mawasiliano ya huyo mwalimu ukiweza.
Mhh mtwara mjini maisha magumu, Michele kilo sh.2500!
Mhh mtwara mjini maisha magumu, Michele kilo sh.2500!