Mwalimu wa Math,Physics na Chemistry anahitajika haraka.

Mwalimu wa Math,Physics na Chemistry anahitajika haraka.

Landala

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
997
Reaction score
478
Ndugu wana jf,kituo cha elimu cha M & S kilichopo Chang'ombe maduka mawili jijini Dar es salaam kinahitaji mwalimu wa sekondari wa masomo ya sayansi yaani mathematics,physics na chemistry kwa ajili ya tuition kipindi hiki cha likizo.Kwa mwenye sifa na anahitaji awasiliane nasi kwa namba 0715 258585.
 
Back
Top Bottom