salary
Policy Plannin and Management(BED PPM), GEOGRAPHY is ma teaching subject. naxfra@yahoo.com
Rejea kichwa hapo juu, kama wewe ni mwalimu uliyemaliza Diploma ama Degree ya moja ya somo tajwa hapo juu, kuna kazi ya kufundisha Chuo cha Ualimu, Grade A. Wilaya ya Mufindi- Mafinga mjini na ni cha Private, niPM nikuunganishe ila itabidi usaini mkataba na mwajiri wako, sio ya muda mfupi. Kama linakuhusu PM.
Policy Plannin and Management(BED PPM), GEOGRAPHY is ma teaching subject. naxfra@yahoo.com