Mwalimu wa Mathematics, History na Geography wanatakiwa.

Mwalimu wa Mathematics, History na Geography wanatakiwa.

MansaMusa

Senior Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
103
Reaction score
13
Rejea kichwa hapo juu, kama wewe ni mwalimu uliyemaliza Diploma ama Degree ya moja ya somo tajwa hapo juu, kuna kazi ya kufundisha Chuo cha Ualimu, Grade A. Wilaya ya Mufindi- Mafinga mjini na ni cha Private, niPM nikuunganishe ila itabidi usaini mkataba na mwajiri wako, sio ya muda mfupi. Kama linakuhusu PM.
 
Naitwa Julius Fulbert, ni graduate wa BED SCIENCE(PHYSICS AND MATHEMATICS), namba yangu ni 0759272289 & 0716815932, nifanyie mpango kuhusu kufundisha phy/math hapo mufindi
 
Mie sie mwajirri ndugu, nimeambiwa nitafute tu so kila aliyeandika contact yake nitamuungansha na mwajiri muelewane wenyewe, naomba muwe na subira kesho Mungu akijaalia uzima nitawaunganisha nae.
 
Dip kutoka chuo cha ualimu Morogoro History, English contact ni 0714930329.
 
Rejea kichwa hapo juu, kama wewe ni mwalimu uliyemaliza Diploma ama Degree ya moja ya somo tajwa hapo juu, kuna kazi ya kufundisha Chuo cha Ualimu, Grade A. Wilaya ya Mufindi- Mafinga mjini na ni cha Private, niPM nikuunganishe ila itabidi usaini mkataba na mwajiri wako, sio ya muda mfupi. Kama linakuhusu PM.

BA.POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC ADMINISTRATION, history, geography, civics 0766988326 NPO DSM
 
Back
Top Bottom