Kama unahitaji home tuition kwa mwanao kwa masomo tajwa hapo juu basi upo mahali sahihi. Nakuja nyumban kwa maeneo yote ya Karibu na Kimara, Mbezi, Ubungo, Kawe mpka Tegeta na Bunju, Masaki, Kurasini Airpot, Goba, Mikocheni n.k

Jitahidi sana kwenye kusimamia maadili ya kazi yako ili ufanikiwe na pia kuaminika
. Kuna mwenzako mpaka muda huu naandika hapa, anatumikia miaka 30 jela.
Alikuwa ni kichwa kweli. Akapata shavu la kumfundisha tuition nyumbani mtoto wa kiume mji fulani! Mwisho wa siku akaanza kumfanyia vitendo vya kikatili na kidhalilishaji.