Ubungo Mataa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2018
- 411
- 725
Kama unahitaji home tuition kwa mwanao kwa masomo tajwa hapo juu basi upo mahali sahihi. Nakuja nyumban kwa maeneo yote ya Karibu na Kimara, Mbezi, Ubungo, Kawe mpka Tegeta na Bunju, Masaki, Kurasini Airpot, Goba, Mikocheni n.k
DM ipo wazi, Karibu.
DM ipo wazi, Karibu.