Mwalimu wa Physics/Chemistry

Mwalimu wa Physics/Chemistry

Wamtaa huu

Senior Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
168
Reaction score
55
Wadau,

Mimi ni mwalimu wa Physics/Chemistry natafuta kazi private sector.Nimekuwa serikalini kwa miaka takribani minne na ninahitaji kubadilisha ajira.Kwahiyo kama wewe unahusika au unamiliki au unajua upungufu wa masomo hayo(yote au mojawapo) kwenye shule,taasisi ama shirika lolote la elimu either O-level au A-level na unahitaji mwalimu commited kwenye hayo masomo basi tufanye mawasiliano.

Elimu yangu ni chuo kikuu (Bsc.ed).Kuna tangazo la mwl wa physics humu kuhitajika lakini mimi na mtoa tangazo tumetofautiana magnitudes za seriousness i.e hayupo serious kutafuta mfanyakazi kama nilivyo serious kutafuta kazi!

Nimezunguka shule kadhaa lakini imetokea kutokukubaliana sana kwenye baadhi ya mambo mostly ni maslahi na mikataba kwa ujumla.Kama upo interested na nitumie private message.Karibuni sana.
 
Kila lakheri mzee katika utafutaji maana nimeshajua wewe upo Iringa
 
Kila lakheri mzee katika utafutaji maana nimeshajua wewe upo Iringa

Asante ndg,Ila sipo huko ulipopataja na sidhani kuwa nilipo nayo ni factor hapa.Kama upo interested ni"pm" tu.
 
Back
Top Bottom