Mwalimu wa sekondari aliye tayari kuja Ukerewe

Mkomawatu

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
273
Reaction score
123
Habari ndugu wanaukumbi?.Mimi ni mwalimu wa sekondari niliyeajiriwa mwaka huu hapa wilayani Ukerewe.Naomba kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu aliyepo Wilaya yoyote ile mkoani Morogoro,Pwani au Tanga.Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0757920263 na 0718073753.
 
hahahahaha,me ninae dada yng yuko hko utafkiri yupo kifungoni,kwny sim nampata kwa shida,yan tabu tupu...anaitwa akwilina mramba kama unamfaham
 
hahahahaha,me ninae dada yng yuko hko utafkiri yupo kifungoni,kwny sim nampata kwa shida,yan tabu tupu...anaitwa akwilina mramba kama unamfaham

dada yako anafundisha yupo Idara ya elimu sekondari au msingi? Na je shule yake inaitwaje?
 
Acha weweee!
Kuna wanaopenda kuja huko! Ila raha ya huko si ujue kuogelea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…