GE2025 Mwalimu wa shule ya msingi, Furaha Nemela atia nia Ubunge, Masasi

GE2025 Mwalimu wa shule ya msingi, Furaha Nemela atia nia Ubunge, Masasi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Furaha Nemela Mwalimu wa shule ya msingi Chakama, iliyopo wilayani Masasi, mkoani Mtwara, ametia nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Masasi Mjini, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku malengo yakiwa kiwatumikia wananchi wa Jimbo hilo.

 
Back
Top Bottom