Habari zenu wote. Natafuta Mwalimu mzuri atakayeweza kutoa Elimu ya Ujasiriamali kwenye kikundi cha familia mwanzoni mwa mwezi wa kumi (inaweza kuwa tarehe 4 October). Kikundi kina watu wenye uelewa tofauti tofauti, elimu na kiasi cha mitaji tofauti pia.
Muda wa somo ni kati ya masaa mawili hadi matatu,
Mahali ni DSM Mbezi Beach- Salasala
Kuhusu GHARAMA, tutakubaliana tukiwasiliana
No. yangu 0713 322 856
Asanteni