Mwalimu wangu Master Herbalist Dr. Sebi akieleza namna ya ugonjwa wa UKIMWI unasababishwa na mucus au “ute”

ee54d40b-4697-4ebc-84f2-77e670926537.jpg

Mfahamu Dr. Sebi: Mwafrika Aliyetibu Ukimwi Wazungu Wakamla Kichwa!
Alfredo Bowman maarufu kama Dr. Sebi, hakutibu ukimwi tu, alitibu hadi kansa na kisukari biashara za watu, wakamfugulia jumla ya kesi 2,781 akashinda zote, akaja kubambikiziwa zengwe la utakatishaji fedha, akatupwa jela na kufia huko, tukaambiwa alikufa kwa nimonia, Nipsey Hussle, muimbaji rappa akaanza kuandaa makala kuhusu Dr. Sebi, kabla hajamaliza naye wakamla kichwa, nikayakumbuka yale maneno ya Mzee Nyerere, “ UBEPARI NI UNYAMA”!

Dr. Sebi alianza kazi ya utabibu kwa kutumia mitishamba baada ya wazungu kushindwa kumtibu kisukari, ugumba, athma na overweight, akaja kutibiwa kwa mitishamba huko Mexico, mgumba akavunja rekodi ya kuzaa watoto 17. Waafrika wote tungeelewa kwamba sisi ndo wafalme wa tiba hapa duniani tusingepoteza pesa kwenye tiba za kizungu, badala yake tungemshukuru Mungu kwa zawadi hii ya utabibu aliyotupa bure na kisha tuingia kuwatibu wagonjwa wote duniani maana imeandikwa ukishukuru Mungu anatenda usiposhukuru shetani anatenda!

Dr. Sebi alizama kwenye tafiti za mitishamba na matunda akagundua asidi ndo chanzo cha magonjwa yote na tiba yake ni kuacha kula vyakula vyenye acid kama vile ugali nyama choma na kula vyakula vyenye alkaline kwa wingi. Hapa kwenye acid na alkaline najua umebaki njia panda maana uliyasoma shuleni ukatoka kapa! Acid kwa Kiswahili ni tindikali!

Dr. Sebi anasema tindikali huongeza sumu mwilini na kusababisha kansa pamoja na figo na ini kufail, magonjwa yanayotukimbiza sana majira haya. Figo ikifail, inabidi uchague kuitoa au kusafisha damu kwa kutumia mashine ya dialysis machine. Gharama yake shilingi laki tatu kila masaa kadhaa unayosafishwa. Unatakiwa usafishwe walau mara nne kwa wiki,hapo unazungumzia milioni moja na ushehe.

Sasa kama panado ya mia mbili inakutoa jasho, hiyo milioni si ndo msiba wa ukoo? Nani anakula hizo pesa? Ni wale waliomuua Dr. Sebi kwa sababu ndo wenye hizo mashine! Hiyo ni figo, bado sijazungumzia biashara, biashara inayowaingizia mabepari zaidi ya dola bilioni 150 kwa mwaka sawa na bajeti ya Tanzania kwa miaka 10. Nani anakula pesa hiyo? Mabepari waliomuua Dr. Sebi! Hii maana yake nini? Maana yake ni kwamba tiba ya Dr. Sebi ingeingia sokoni, mabepari wangepoteza bilioni 150 kwa kila mwaka.

Katika ulimwengu wa kibepari kuugua ni faida, kufa ni hasara, ndo màana watafanya juu chini wagonjwa wanaendelea kusogeza siku kwa kununua dawa, kununua ARV, kupiga mionzi, kumeza panado na action ili kutuliza kichwa na si kuponya kichwa! Kuna watu wanadhani ARV zinatolewa bure, thubutu. Unadhani hili deni la Afrika linalokuwa kila siku linatoka wapi? Uliishaambiwa no free lunch in Marica lakini bado huelewi siasa za misaada. Chukua mudu ukamsome Dambisa Moyo ili uniache niendelee na habari za huyu mwamba!

Dr. Sebi alitaja orodha ndefu ya vyakula vyenye acid uvikimbie na vile vyenye alkaline uvimbilie. Nyama zote ukitoa kuku wa kienyeji na kitimoto ni acid tupu, kimbia haraka sana. Hata kitimoto Dr. Sebi anashauri usile kwa sababu kina minyoo mingi ambayo ikiingia mwilini inakimbilia kula ubongo na kuathiri uwezo wa kufikiri. Hapa nadhani Daktari anatafuta ugomvi aisee! Unamwabiaje Mh. Sugu aache kula kitimoto yenye mafuta?

Vyakula vingine vyenye acid ni maharagwe, sukari, miwa, mafuta ya kupikia, mahindi makavu, soda, maziwa, pombe zote, ngano, maji ya viwandani, mayai, mtindi, mlonge. Dr. Sebi bwana, mbona hivi ndo vyakula vya kila siku kwa watanzania toka enzi hizo? Jamaa mmoja aliposikia masomo ya Sebi alisema "Mnataka tushinde njaa sasa!" Mwingine akasema, “Nakunywa maji ya Betri sembuse kutafuna Miwa!”

Unajua hakuna kitu kigumu kama kubadilisha tabia. Imagine burudani yako ni nyama choma nusu kilo yenye mafutafuta, ugali, kachumbari na bia baridi unamwambia chakula hicho ni sumu atakuelewa? Hawezi kukuelewa kabisa hadi akipata tezi dume. Dr. Sebi anasema ugali wa dona haufai kabisa usile. Niliwahi kusoma pahali kwamba ugali haufai kwa sababu waulao hudumaza akilo zao. Au ndo maana panya anakula mbegu tu?Dr. Sebi anasema ugali unapoingia mwilini hugeuka na kuwa sukari ambayo baadaye huweza kusababisha ugonjwa wa kisukari.

Unaanza kumwambia mama Rehema pilau nyama ni sumu kwa sababu huzalisha acidi atakuelewa? Huyu hawezi kukuelewa hadi apate kansa ya shingo ya uzazi.Umwambie Masai nyama nyekundu ni sumu atakuacha salama? Hasira zake sizitakuishia? Marastafarian wanasema nyama inasabaisha hasira ndo maana jamii zenye wala nyama wana hasira za haraka.Dr. Sebi anasema hata huu mlonge tunaojidaia haufai kabisa kwa sababu ni acid tu.

Dr. Sebi anasema ulaji wa vyakula hivyo vyenye tindikali hutengeneza vikamasi flani hivi vyenye sumu wazungu wanaviita toxic mucus, sasa hivyo vidude vikizidi kwenye broanchits tubes huzalisha ugonjwa wa bronchitis; vikizidi kwenye mapafu hupelekea nimonia, vikiwa kwenye pancreatic duct hupelekea kisukari, vikizidi kwenye mapingili ya mwili husabaisha mgongo kuuma, vikizidi kwenye retina retina husababisha upofu, vikizidi kwenye thyroid gland husababisha kansa ya koo, yaani vikizidi sehemu yoyote ya mwilini husababisha magonjwa.

Habari njema za utabibu wa Dr. Sebi zikaanza kuwafikia watu wengi duniani. Daktari akaamua kuhamishia huduma yake Marekani, huko akawatibu hadi mastaa wakubwa duniani kama Lisa Lopes, Steven Seagal, John Travolta, Eddie Murphy na Michael Jackson, shuhuda za uponyaji zikazidi kupasua mawimbi, Sebi akaamua kutangaza kabisa huduma yake kwenye gazeti, mwaka 1987 akashitakiwa kwa kuendesha biashara ya tiba bila leseni ya udaktari, wakamtaka kuthibitisha kwa kuonyesha mtu mmoja aliyepona kwa kila ungonjwa, Sebi akaleta watu 77, akashinda kesi, ikawa ni sawa na kumpiga teke chura, maana ilimpa umaarufu na kesi hiyo ndo ikawa ushuhuda wa kuvuna wateja wengi zaidi.

Dr. Sebi akaendelea kung’ara katika tiba za kibabe, kutibu ngoma, kansa, kisukari na uchizi siyo utaalamu wa kitoto. Sebi anakwambia hata ukimwi ni zengwe tu, anasema kwa akili ya kawaida virusi vya ukimwi haviwezi kusababisha ukimwi, hoja ambayo Rais Thambo Mbeki wa Afrika Kusini aliishikilia bango na kupiga marufuku matumizi ya ARV nchini kwake, mataifa ya magharibi yakamuandama hadi kupoteza urais wake.

Mbeki aliwataangazia wananchi wake kutumia malimao, magimbi, vitunguu saumu na mafuta ya mzeituni kutibu UKIMWI. Mbeki alisema ARV ni ‘sumu’ na ni bidhaa zilizokubaliwa na makampuni ya madawa kutika nchi za Magharibi. Mbeki anakwambia virusi haviwezi kusababisha upungufu wa kinga. Mbeki akalaumiwa kusababisha takribani vifo 365,000 vya wagonjwa wa UKIMWI. Mbeki akasema hizo ni hila za wazungu kutugeuza soko la ARV, wanashupaliaje ukimwi ati unaua sana na wakati ni ugonjwa wa tisa kuua? Mbona hatusikii chochote kuhusu kifua kikuu kinachoongoza kwa kuua?

Mbeki anasema ili mtu asipate huo upungufu wa kinga mwilini inabidi ale vizuri, afanye mazoezi na atibiwe ugonjwa wowote alionao hadi upone kabisa, iwe T.B, iwe kuhara, iwe infection au chochote kile; lakini makampuni yalimwambia watu wasifanye hivyo, wapewe ARV,na ukishazitumia, ukiacha utaumwa hadi kufa.

Lakini ukimsikiliza Thambo na Sebi kuna hoja! Toka lini upungufu wa kinga mwilini ukaambukizwa? Sasa kama kinga imeshuka siule vyakula vya kupandisha? Kwa nini ule dawa maisha? Hivi mimi niwe na upungufu wangu wa kinga ya mwili kwa kuwa nazembea kula vizuri nikamwambukize mpenzi wangu ambaye anayekula vizuri na kufuata taratibu zote za afya? Utapiamlo wangu unaambukizwaje kwako? Huoni kama huo siyo ukimwi ila una jina lingine ambalo limefichwa ili waendelee kupiga pesa? Magonjwa mengi virus wake huonekana maabara huyu kirusi gani hajawahi kuonekana? Hapo ndo huwa nasema bado tuna kibarua cha kufikiri sana ili kwenda sambamba na mabeberu. Tukizama kwenye tafiti, majibu yake yanaweza kutushangaza! Wakati tukiendelea kutumia ARV serikali zote za Afrika zielekeze pesa kwenye tafiti!

Dr. Sebi alianza na tafiti akapata majibu ya tatizo akayafanyia kazi, huku kwetu, wasomi wanafanya tafiti, wanapata majibu na kuyafungia makabatini! Tembelea vyuo vikuu vyetu uone, huko kuna hadi tafiti za kutengeneza ndege, zinakula vumbi! Kituo chake cha utafiti alikiita USHA Research Institute, kilikuwa katika kijiji cha Usha.

Mei 28, 2026 alikamatwa na kosa la utakatishaji pesa baada ya kumkamata na dola 37,000 mkononi bila maelezo kazipata wapi huku wakijua kabisa alikuwa anaingiza dola 3,000 kwa siku. Alikuwa anasafirisha mapesa hayo kutoka Marekani kwenda Honduras kwa private jet. Wakati familia yake ikifanya harakati za kumtoa, Dr. Sebi alifia huko jela, wakasema amekufa kwa nimonia wakiwa njia kwenda hospitali. Alikufa 6 August 2016!

Dr Sebi anakwambia chakula ndo tiba, vingine ni usanii tu! Anasema Mungu alipotuleta hapa duniani alituwekea na vyakula vyote vinavyotibu magonjwa yetu. Ni aina ya ulaji wetu ndiyo unafanya sisi kuandamwa na magonjwa.

“Eat to live or eat to die!” Dr Sebi anashauri unywaji wa galoni moja ya maji kwa siku kama njia nzuri ya kutoa takata taka zilizomo mwilini. Chai na kahawa ni sumu kubwa katika mwili, kama vipi piga zako mchaichai au maji tu inatosha! Halafu jitahidi pia kula matunda kulingana na msimu, Mungu hakuwa mjinga kukuletea maembe disemba na zabibu kiangazi. Kula tunda nje ya msimu wake kuna changamoto pia. Tikiti linalopatikana mwaka mzima linaweza kuwa hatari kwa afya!

Anashauri mfungo wa maji, “water fasting”. Yeye anasema alifunga kwa miezi mitatu akinywa maji tu, akapona mazima. Dr. Sebi pamoja na uzee wake wote, amewahi kufanya interview kwa masaa mawili bila kukohoa wala kusafisha koo kwa kutoa sauti flani hivi kama tufanyavyo wengi, ule ni ugonjwa brother, kuna mwingine kila akicheka lazima akohoe! Mfungo ni tiba ndo maana dini zote zinasisitiza maombi ya kufunga na kuomba! Lengo siyo kwenda mbinguni, lengo ni kuendelea kuwa na afya ya kumtumikia Mungu. Mwenzangu unakula mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka hilo tumbo linapumzika lini? Linapumzishwa gari sembuse tumbo? Pumzisha tumbo lako brother hata mara moja kwa wiki.Water fasting inaondoa sumu mwilini! Chupa mbili za maji kwa siku haziwezi kukushinda hata kama unatumia choo cha kulipia, piga maji, osha uchafu uliokotumboni, kutokunywa maji ni sawa na kulia kwenye vyombo vichafu.

Hata Hippocrates wa Kos, mtaalamu wa tiba kutoka Ugiriki aliwahi kusema “Your food your medicine and your medicine your food” Sebi alikuwa anawaamsha watu watumie vyakula na matunda kama tiba badala ya kutumia vidonge vya sumu kama chakula. Kevin Trudeau ni moja kati ya wazungu waliomuelewa sana Dr. Sebi na kuandika kitabu kiitwacho, “Natural Cures "They" Don't Want You to Know About” kuonyesha jinsi mabeberu wanavyofaidika kutokana na magonjwa yetu. Mwandishi anasema chuo kikuu cha Calgary kiligundua tiba ya kisukali kwa kutumia mitishamba lakini wakaficha data kuogopa mkono wa pharmaceutical industry.

Tuwe makini na pharmaceutical industry kama mgonjwa nayetibiwa na mke wa muuza majeneza. Trudeau anakwambia kuna dawa za asili zinazotibu magonjwa yote lakini mababeru wanatumia nguvu kubwa kuhakikisha watu wanazipuuza ndo maana majina ya dawa na madaktari wa dawa zote za asili ni mabaya, mganga wa kienyeji, wapiga lamri, waganguzi.

Tutumie vyakula vyenye alikaline kwa bidii sana. Limao ni mfano wa vyakula vyenye tindikali nyingi ingawa wengi tunadhani lina acid. Limao ni msada mkubwa kwa ini kwani humsaidia ini kuondoa masumu mwilini, jenga urafiki na limao. Pata kiburudisho cha glass ya limao kila siku asubuhi ufurahie maisha. Tatizo wengi tunakula matunda au mboga za majani ‘kwa bahati mbaya’, siyo chakula muhimu sana.

“When an old man dies, a library burns to the ground.” – African proverb.
 
View attachment 2968913

Asante sana mkuu
 
Sijaangalia hio movie ila nimesoma sentensi kama mbili tatu.... nina maswali

1) Kwamba acid haitakiwi mwilini ?
2) Mlonge una virutubisho vingi sana kwahio unasaidia kama mtu akitumia kuweza kupata virutubisho hivyo sasa unamaanisha virutubisho havitakiwi mwilini ?
 
Kitu ninachojiuliza richa ya uzee alionao ila kijana mwenye kufuata vyakula anavyosema marehemu dr Sebi je unaweza kweli kubeba ndoo la litre20 kwa per km! Maana wengi maherbalist na wanaofata iyo mifumo ya afya ukiwatazama unaona hawana nguvu kama dr janabi pia.
 
The One Food Dr. Sebi Said Will KILL YOU (But Doctors Recommend It)​

In nutrition, few figures are as polarizing as Dr. Sebi. Known for his alkaline diet and natural remedies, Dr. Sebi warned vehemently against milk, while many doctors recommend it. Dive into this exploration of the contrasting views on milk and understand Dr. Sebi's stark warning.Dr. Sebi’s Warning Against Milk 🚫- Acidity Concerns: Dr. Sebi argued that milk is highly acidic, leading to mucus buildup and various health issues.- Health Claims: He believed milk could cause inflammation, digestive problems, and exacerbate conditions like asthma and allergies.Mainstream Medical Recommendations ✔️- Bone Health: Doctors recommend milk for its calcium and vitamin D, which are essential for strong bones.- Nutritional Value: Health authorities highlight milk's benefits, including its high-quality protein and essential nutrients.Potential Risks of Milk Consumption, According to Dr. Sebi ⚠️- Mucus Production: is linked to respiratory problems and infections.- Lactose Intolerance: Causes bloating, gas, and diarrhea in many people.- Inflammation: Proteins in milk may contribute to autoimmune diseases.Nutritional Benefits Highlighted by Doctors 🥛- Bone Health: Rich in calcium and vitamin D.- Protein Source: Important for muscle growth and repair.- Nutrient-rich: Contains potassium, vitamin B12, and phosphorus.The Alkaline Diet Perspective 🌿- Acidity Concerns: Dr. Sebi’s diet emphasizes an alkaline pH, claiming milk is acid-forming.- Plant-Based Alternatives: Advocates for calcium from leafy greens, almonds, and sea moss.Scientific Debate 🔬- Conflicting Studies: Benefits for bone health vs. potential cancer and cardiovascular risks.- Bioavailability: Debate over nutrient absorption from dairy vs. plant-based sources.Personal Health Considerations 🩺- Individual Reactions: Effects vary, considering lactose intolerance, allergies, and health conditions.- Dietary Balance: Consulting a healthcare provider is crucial for personalized nutrition advice.Alternative Recommendations 🌱- Non-Dairy Milk: Options like almond, soy, and oat milk offer similar benefits.- Supplements: Ensure adequate calcium and vitamin D intake without dairy.The debate over milk’s health benefits versus its potential risks highlights the clash between traditional medical advice and alternative perspectives like Dr. Sebi's. Stay informed, consult with healthcare professionals, and make the best decision for your health.

View:

Chakula Kimoja Dk. Sebi Alisema KITAKUUA (Lakini Madaktari Wanapendekeza)
Katika lishe, takwimu chache ni za mgawanyiko kama Dk. Sebi. Dk. Sebi anayejulikana kwa lishe yake ya alkali na tiba asilia alionya vikali dhidi ya maziwa, huku madaktari wengi wakipendekeza. Ingia katika uchunguzi huu wa maoni tofauti kuhusu maziwa na uelewe onyo kali la Dk. Sebi. Onyo la Sebi Dhidi ya Maziwa 🚫- Wasiwasi wa Asidi: Dk. Sebi alisema kuwa maziwa yana asidi nyingi, na hivyo kusababisha mkusanyiko wa kamasi na masuala mbalimbali ya afya.- Madai ya Kiafya: Aliamini kuwa maziwa yanaweza kusababisha uvimbe, matatizo ya usagaji chakula na kuzidisha hali kama vile pumu na mzio. Mapendekezo ya Kawaida ya Kitiba ✔️- Afya ya Mifupa: Madaktari wanapendekeza maziwa kwa ajili ya kalsiamu na vitamini D yake, ambayo ni muhimu kwa mifupa imara.- Thamani ya Lishe: Mamlaka za afya zinaangazia manufaa ya maziwa, ikiwa ni pamoja na protini yake ya ubora wa juu na virutubisho muhimu.Hatari Zinazowezekana za Kunywa Maziwa , Kulingana na Dk. Sebi ⚠️- Uzalishaji wa kamasi: unahusishwa na matatizo ya kupumua na maambukizi.- Kutovumilia Lactose: Husababisha uvimbe, gesi, na kuhara kwa watu wengi.- Kuvimba: Protini katika maziwa inaweza kuchangia magonjwa ya autoimmune.Faida za Lishe Yaliyosisitizwa na Madaktari 🥛- Afya ya Mifupa: Tajiri wa calcium na vitamin D.- Protini Chanzo: Muhimu kwa ukuaji na urekebishaji wa misuli.- Virutubisho vingi: Ina potasiamu, vitamini B12, na fosforasi.Mtazamo wa Lishe ya Alkali 🌿- Maswala ya Asidi: Dr. Sebi's mlo husisitiza pH ya alkali, ikidai kuwa maziwa yanatengeneza asidi.- Mbadala zinazotegemea mimea: Inatetea kalsiamu kutoka kwa mboga za majani, almonds, na moss baharini.Mjadala wa Kisayansi 🔬- Mafunzo Yanayokinzana: Faida kwa afya ya mifupa dhidi ya uwezekano wa saratani na hatari za moyo na mishipa. .- Bioavailability: Mjadala kuhusu ufyonzwaji wa virutubisho kutoka kwa maziwa dhidi ya vyanzo vinavyotokana na mimea.Mazingatio ya Afya ya Kibinafsi 🩺- Matendo ya Mtu Binafsi: Athari hutofautiana, kwa kuzingatia kutovumilia kwa lactose, mizio na hali za kiafya.- Mizani ya Chakula: Kuwasiliana na mtoa huduma ya afya ni muhimu kwa ajili ya kibinafsi. ushauri wa lishe.Mapendekezo Mbadala 🌱- Maziwa Yasiyo ya Maziwa: Chaguo kama vile maziwa ya almond, soya, na oat hutoa faida sawa.- Virutubisho: Hakikisha ulaji wa kutosha wa kalsiamu na vitamini D bila maziwa. Mjadala juu ya faida za afya ya maziwa dhidi ya hatari zinazowezekana zinaangazia mgongano kati ya ushauri wa kitamaduni wa matibabu na mitazamo mbadala kama ya Dk. Sebi. Pata habari, wasiliana na wataalamu wa afya, na ufanye uamuzi bora zaidi kwa afya yako.
 
VIRUS,GERMS AND BACTERIA CAUSING DISEASE?
IT NEVER EXISTED!
Everything in nature COMPLIMENTS! Everything compliments!

A bacteria, a gerrn, a virus simply does not exist. It is a manifestation that is caused by erosion. But the erosion is cause by mucus and the mucus came from the foods that you eat.
When cells cease to receive oxygen they break down and depending where the erosion is taking place, there the disease you would have. If the erosion is in the nostril then it is sinusitis. If it’s in the bronchial tubes, it’s bronchitis. If it’s in the lung it’s pneumonia.
The only thing that causes the body to go into erosion is acid. Not alkalinity; acidity.

1723905941058.jpeg

View:
 
26047134_10159578867400198_741260680103310735_n.jpg

SUMU YA NYUKI INAVYOANGAMIZA VIRUSI VYA UKIMWI (VVU)
Wengi tunafuga nyuki, tunakula asali lakini hatujui kama nyuki wana faida zaidi ya hizi hapa.
Wanasayansi kutoka chuo kikuu cha tiba Washington, Marekani wamegundua katika utafiti wao kuwa sumu iliyopo katika mwili wa nyuki iitwayo toxin melittin inaweza kuvivunjavunja na kuviharibu virusi vya Ukimwi pasipo kuacha madhara katika chembehai za mwili.
Habari hii imeelezwa katika taarifa ya tiba za dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi iliyotolewa mapema mwaka huu.
Watafiti hawa wanaeleza kuwa matokeo ya utafiti huu kufika katika hatua kubwa inayoleta matumaini ya kupamba na VVU kwa kuweza kupata dawa ya kupaka ya majimaji ndani ya uke itakayotumika kupambana na maambukizi ya VVU.
Dk Joshua Hood anasema: “Matumaini yetu ni kwa maeneo ambayo hali ya maambukizi yapo juu na vigumu kuzuilika, dawa ya majimaji mazito inaweza kutumika kupaka ndani ya uke katika kuzuia maambukizi ya mwanzoni kabisa.”
Sumu ya nyuki, melittin, imeonyesha uwezo wa kupambana na VVU kwa kuvunja ganda linalomzunguka kirusi na virusi wengine kwa kulitoboa na kuacha matundu.
Mwandishi mwandamizi wa makala za biokemia, Dk Samuel Wicline, Profesa wa Biochemia wa Taasisi ya Russel Hornsby anafafanua kuwa kuwa vijipande vidogo vilivyoshindiliwa vya sumu ya nyuki vimeonyesha kuwa na tabia ya kuweza kuua chembe hai zenye saratani.
Anaeleza mtaalamu huyo kuwa hii si mara ya kwanza katika ugunduzi wa tiba ya namna hii, kwani mwaka 2004 wanasayansi wa Croatia walitoa taarifa yao katika jarida la sayansi ya chakula na kilimo kuwa mazao ya nyuki, ikiwamo asali na sumu ya nyuki vina uwezo wa kutumika kutibu na kuzuia saratani.
Chembehai za mwilini zenye afya huendelea kubaki salama pasipo kupata madhara wakati wa tiba kwani sumu hiyo ya nyuki imetengenezewa na kitu kama ngao ambayo ikikutana na seli za mwili hudunda na kwenda mbali bila kujishikiza.
Hii ni kwa sababu ya seli za mwili ni kubwa kimaumbille kuliko sumu ya melittin, wakati kwa virusi vya Ukimwi ni vidogo kuliko melittin, hivyo ikikutana navyo ngao hiyo haiwezi kuzuia kirusi kidunde kwani ni kidogo, hivyo kirusi hudakwa na melittin na kushikamana, hivyo kirusi huweza kuharibiwa.
Dk Hood anaeleza kuwa vijipande vilivyoshibishwa na sumu ya melittin huweza kushikamana na kirusi na kutoboa tundu katika ganda la kirusi na kuchana ganda lote, hivyo kirusi huweza kuvunjwa.
Wakati tiba kwa kutumia dawa za kufubaza makali ya VVU, yaani ARVs zinafanya kazi kwa kuzuia uwezo wa virusi kujidurufisha, kwa tiba ya melittin hushambulia sehemu muhimu ya kimaumbile ya virusi ambayo ndiyo nguzo imara kwa virusi.
Tatizo katika tiba ya kuzuia uwezo wa kirusi kujidurufisha ni kuwa maambukizi yanakuwapo na hayakomi mwilini, hivyo hayazuii maambukizi kuwepo mwilini.
Baadhi ya vipande vya virusi vya Ukimwi vimepata uwezo wa kujibadili hivyo kuzuia ufanyaji kazi wa ARVs na hivyo kuendelea kuzaliana na kuvamia seli za mwili.
Mtaalamu huyo anaeleza: “Tunashambulia sehemu ya kimaumbile ya kiurithi ya VVU, kinadharia, tunasema hakuna namna yoyote ya kirusi kuweza kujibadili ili kukabiliana na mazingira mapya ya kujihami na mashambulizi ya tiba hii ukilinganisha na mashambulizi ya ARVs’ kirusi kitahitaji kuwa na ganda la kujikinga lenye ngozi ya tando mbili ili kuweza kujibadilisha.
Dk Hood anaamini kuwa sumu ya nyuki iliyoshibishwa vijipande vya melittin ina uwezo wa kitiba wa aina mbili katika kutibu na kuzuia, moja ikiwa kutumika kama maji mazito ya kuweka ukeni (vaginal jelly) ili kuzuia maambukizi ya VVU kuenea .
Tiba ya pili ni kutumika kwa maambukizi ambayo tayari yapo mwilini hasa kwa maambukizi yaliyoleta usugu wa dawa, kinadharia ni kuwa kama sumu ya melittin itadungwa mwilini na kuingia katika mzunguko wa damu inaweza kuviangamiza virusi vya Ukimwi.
Anaeleza Dk Hood kuwa, “Kimsingi, vijipande hivi vya tiba vilivyotumika vilianza kufanyiwa majaribio ya kimaabara miaka mingi iiliyopita ikiwa kama zao la damu bandia ya kutengenezwa maabara.
Hata hivyo, haikufanya vyema katika kubeba na kusambaza hewa ya oksijeni, lakini ikawa ikizunguka katika mzunguko wa damu ikiwa salama mwilini na hivyo ilitupa mwanga wa kuweza kupata mbinu mpya ya kupambana na maambukizi ya aina tofauti.”
Melittin inashambulia tando mbili za ngozi laini pasipo kutofautiana, hii inaifanya melittin iwe dawa yenye uwezo wa juu kitiba katika mapambano dhidi ya maambukizi VVU.
Virusi kama Hepatitis B (homa ya ini) na C ambavyo navyo vina ganda la kuwakinga la namna hii navyo vinakuwa miongoni mwa virusi vinavyoweza kuangamizwa na tiba ya melittin.
Pia, majimaji mazito (jelly) ya melittin pia huenda yakalenga mbegu za kiume. Mtafiti Hood anaeleza kuwa inaweza kutumika kama dawa za kuzuia mimba, hivyo kuwa kama njia ya uzazi wa mpango. Hata hivyo, bado hawajalifanyia kazi.
Pia, wanaangalia uwezekano wa wenza wawili ambao mmoja wao aliyeambukizwa VVU pale watakapohitaji kupata mtoto aliye salama, kwani vijipande hivyo vya melittin ni salama kwa mbegu za kiume kwa sababu hiyohiyo ni salama pia kwa seli za ukeni.
Dk Hood anasema bado ni mapema mno kwani mpaka sasa majaribio yote ni ya kimazingira ya kimaabara.
Kwa namna yoyote itakavyokuwa, vijipande hivi vya melittin ni rahisi kuvitengeneza vya kutosha na itakuwa rahisi kuvisambaza kwa ajili ya majaribio ya baadaye kwa binadamu.
Hata hivyo, hiyo itakuwa ni habari njema endapo utafiti huo utafanikiwa na kuleta matokeo mazuri katika vita dhidi ya VVU, pia itakuja kuwa na faida kiuchumi kwa wafugaji wa nyuki nchini wakiwamo wa Tanzania.
USHAURI WANGU:::
UKITAKA TIBA YA KUCHOMWA NA MWIBA WA NYUKI AKA SUMU YA NYUKI FANYA HIVI.
Nenda kwa mfugaji nyuki vaa kitu usoni na masikioni na tundu za pua ili nyuki wasikuchome kisha vua nguo mgongoni mwako kuwe wazi ili hiyo Miiba ya
nyuki ipate kukuingia kisha ingia kwenye mzinga wa nyuki au upate japo nyuki 5 wakuchome kwa muda wa dakika 1 Fanya hivyo kila siku mara moja kwa muda wa miezi 3 mpaka miezi 6
utakuwa umekwisha kupona huo ugonjwa wako wa ukimwi na Virusi vyote vitakufa ila kila baada ya mwezi mmoja uende kupima huenda ikiwa bahati yako
nzuri unaweza kupona kwa muda wa mwezi mmoja lakini muda kamili ni kuanzia miezi 3 mpaka miezi 6 kazi kwako Dawa ya bure nimekupeni.
 
1725313734203.png

Study: Bee Venom Kills HIV​

Discovery could lead to topical gel to prevent HIV transmission.
Bees could hold the key to preventing HIV transmission. Researchers have discovered that bee venom kills the virus while leaving body cells unharmed, which could lead to an anti-HIV vaginal gel and other treatments.
Scientists at the Washington University School of Medicine in St. Louis found that melittin, a toxin found in bee venom, physically destroys the HIV virus, a breakthrough that could potentially lead to drugs that are immune to HIV resistance. The study was published Thursday in the journal Antiviral Therapy.
"Our hope is that in places where HIV is running rampant, people could use this as a preventative measure to stop the initial infection," Joshua Hood, one of the authors of the study, said in a statement.

The researchers attached melittin to nanoparticles that are physically smaller than HIV, which is smaller than body cells. The toxin rips holes in the virus' outer layer, destroying it, but the particles aren't large enough to damage body cells.
"Based on this finding, we propose that melittin-loaded nanoparticles are well-suited for use as topical vaginal HIV virucidal agents," they write.
Theoretically, the particles could also be injected into an HIV-positive person to eliminate the virus in the bloodstream.
Because the toxin attacks the virus' outer layer, the virus is likely unable to develop a resistance to the substance, which could make it more effective than other HIV drugs.
"Theoretically, melittin nanoparticles are not susceptible to HIV mutational resistance seen with standard HIV therapies," they write. "By disintegrating the [virus'] lipid envelope [it's] less likely to develop resistance to the melittin nanoparticles."
source. https://www.usnews.com/news/articles/2013/03/08/study-bee-venom-kills-hiv

Bee sting therapy cure for Aids ,cancer​

View:
 
Ni kuacha sio kutumia kwa kiasi kwani Spinach aka mchicha asili yake ni asidi, Carroti Karoti (carrot is artificial) ni ya kutengenezwa na binadamu na kitu cha kutengenezwa na binadamu asili yake ni asidi hakifai kuliwa. Nyama ya Ng'ombe,mbuzi,kondoo, na hao kuku wa kisasa wote hawafai kuliwa ni asili yake ni asidi na ukitumia ungojee kupatwa na maradhi.

Duh. Zinagoma na uhalisia wa maisha ya watu wengi hasa zile jamii za kifugaji.
 
Back
Top Bottom