Mwalimu wetu wa kwaya alizimia kwa kufunga

Benokolongokonongose

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
213
Reaction score
52
Mwalimu wetu wa kwaya alizimia baada ya kufunga(fasiting)masaa 120. Kufikishwa hospitali madaktari wanasema hajala na ana vidonda vya tumbo. Wameshauri madokta kuwa mtu akitanga ni vema akapimwa ili kuangalia kama afya ya mhusika iko vema au la. Wote tuwe makini katika hili
 
amepona mwalimu wetu
kumbe na wewe unamba kwaya mimi nataka kujua kupiga kinanda nifanyaje
 
Hebu tujuze zaidi . ni kwaya kuu au ya uinjilisti au ya vijana au ya kina mama.
 
Huyo nia yake ilikuwa ni nini, masaa 120 ni siku 5 bila kula, vipi angekuwa sehemu peke yake si angejifia kabisa.
 
Yesu pekee ndie alieweza kufunga siku 40 bila kula. Asirudie tena huyo atakufa ingawa lengo lake ni zuri
 
Hebu tujuze zaidi . ni kwaya kuu au ya uinjilisti au ya vijana au ya kina mama.

Haaa umejuaje kama tuna kwaya 4 mkuu au we tunasali pamoja?Ni kwaya ya uinjilisti na mwalimu alialikwa semina Mtwara ndo akawa kwenye maandalizi ya kufunga.
 
Kuna kupiga kinanda kwa kutumia chord tu na kuna kutumia note. Na hapa kwetu kuna wapiga vinanda wawili mmoja anapiga na kufundisha note mwingine chord. Nikuunganishe na yupi?Mwalimu hali yake sijajua ndo tunaenda hospitali ntakufahamu nikifika. Mbo we upo kama mimi tu?Nami napenda sana muziki hasa wa injili.

amepona mwalimu wetu
kumbe na wewe unamba kwaya mimi nataka kujua kupiga kinanda nifanyaje
 
Kifo kinatafutwa kwa nguvu siku hizi. Wengine wanajinyonga, wengine wanakunywa sumu na wengine kama huyo anakaa bila kula.eeh mungu tupe akili sisi viumbe wako!
 
nimeshidwa kutamka jina lako
mleta mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…