Benokolongokonongose
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 213
- 52
Mwalimu wetu wa kwaya alizimia baada ya kufunga(fasiting)masaa 120. Kufikishwa hospitali madaktari wanasema hajala na ana vidonda vya tumbo. Wameshauri madokta kuwa mtu akitanga ni vema akapimwa ili kuangalia kama afya ya mhusika iko vema au la. Wote tuwe makini katika hili