Mwalimu wetu wa kwaya alizimia kwa kufunga

Mungu kajibu maombi yake (vidonda vya tumbo) maandiko yanasema kila aombaye atapewa
 
Yeyo takwenya. Mwalimu anaendelea vizuri kiasi ila ameshangaza. Amekunywa uji zile themosi za vikombe 12 peke yake. Tumuombee mwalimu wetu.

amepona mwalimu wetu
kumbe na wewe unamba kwaya mimi nataka kujua kupiga kinanda nifanyaje
 
Yeyo takwenya. Mwalimu anaendelea vizuri kiasi ila ameshangaza. Amekunywa uji zile themosi za vikombe 12 peke yake. Tumuombee mwalimu wetu.

ikoooooo..jamani mwalimu mungu amtie nguvu
mi sio mpenzi wa kula lakini siwez kufunga kula
 
Habari za mwalimu wako wa kwaya zinatuhusu nini sisi hapa jamvini?

Umbea tu
 

Yaan nilivyosoma heading nimecheka kwelikweli
 

"Fasiting" we inaonesha mbovu wa lugha au hujasoma. Mwalimu wenu ananikumbusha kisa cha mwinjilisti fulani Chimala. Alifunga siku 4 nia yake aende 7. Akazimia. Kufika hospitali tu uchunguzi ukaonesha utumbo umejikunja. Alipopata fahamu daktari akaagiza uji haraka. Jamaa kusikia uji akadakia, 'msisahau na bagia na vitumbua'. Kama mtu huwezi kufunga bora uache au funga unapoweza tu. Na tuna tofauti ya kukaa muda mrefu na njaa kati ya mwanaume na mwanamke sikumbuki sawasawa. Saumu njema kwa mwalimu.
 
Yesu pekee ndie alieweza kufunga siku 40 bila kula. Asirudie tena huyo atakufa ingawa lengo lake ni zuri

David Brain alifunga siku 48 pia, tena alikaa kwenye box la vioo lililoning'inizwa mtaani ili watu waone ni kweli hali kitu kwa siku zote hizo, Jesus huenda alikuwa anajitengenezea mikate anatupia mara mojamoja.
 
PUU -MBAA-VUU....alitakiwa afe kabisa...hayo mafundisho ya kufunga hivyo ametoa wapi.....!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…