Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, ameitaka Serikali kurasimisha sekta isiyo rasmi inayohusisha wamachinga, madereva wa bodaboda na bajaji kwa kuwa makundi hayo yana mchango mkubwa wa kifedha kuliko inavyofikiriwa.
Akichangia bungeni Juni 19, 2026, Mwalunenge alifafanua kuwa watu wanaofanya shughuli hizo sio maskini bali ni "matajiri walioshika uchumi wa nchi," na kinachohitajika sasa ni serikali kuweka mifumo thabiti itakayowawezesha kujikusanyia na kusimamia mitaji yao wenyewe.