Mwalunenge: Machinga, Bodaboda siyo Maskini, wakichanga Tsh. 1,000 kila siku wanaweza hata kujenga barabara

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, ameitaka Serikali kurasimisha sekta isiyo rasmi inayohusisha wamachinga, madereva wa bodaboda na bajaji kwa kuwa makundi hayo yana mchango mkubwa wa kifedha kuliko inavyofikiriwa.

Akichangia bungeni Juni 19, 2026, Mwalunenge alifafanua kuwa watu wanaofanya shughuli hizo sio maskini bali ni "matajiri walioshika uchumi wa nchi," na kinachohitajika sasa ni serikali kuweka mifumo thabiti itakayowawezesha kujikusanyia na kusimamia mitaji yao wenyewe.

Your browser is not able to display this video.
 
Ona takataka nyingine toka Mbeya! Stupid, si mpunguze laki 3 mnazopata kila siku kwa kugonga meza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…