DOKEZO Mwamba ajenga fremu kituo cha Mwendokasi Mbagala licha ya kupigwa stop na serikali

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kila mwenye pesa kwa sasa ni kambale. Watu wametiwa mfukoni. Mf. GSM kwa sasa anafanya atakalo, awamu zijazo tunavirejesha Serikalini wasidhani hatuoni huu upuuuzi.
Baada huwa wanaona kama wanaonewa kumbe ndio uhalisia
 
Miaka ya mbele huko watu watakuwa wanajenga juu ya lami...
 
Baada huwa wanaona kama wanaonewa kumbe ndio uhalisia
Wangejifunza kwa Manji ingependeza. Alitemeshwa COCOBEACH, Akatema QUALITY PLAZA nk. Wafadhili wa Soka hasa kwenye Timu yetu ya Chama na Serikali huwa WanaAjenda nyuma yake.
 
Bado nawashangaa waliotoa kibali pale Bigbon Msimbazi lile jengo lijengewe vile, bado nawashangaa
 
Tujifunze kuangalia FURSA na kuzitumia PONGEZI kwake aliyebaini hilo eneo na kuichungulia FURSA tuungane mkono.

Huyo hakuna tofauti na MACHINGA waliojazana pembezoni mwa barabara kiasi ni shida kwa waenda kwa miguu. Ukiiona fursa tumia .

Kosa Lake nadhani issue ya vibali vya ujenzi ndo maana ya maandishi na EKSII KUONEKANA HAPO.
 
Anaweza Akajiona Yupo juu Awamu hii lakini Atakuja kutana na moto Huko mbele Ni zama Zake kwasasa

Mkuu pale frem moja inapangishwa mi.1 paka iyo awamu ifike pesa yake nafaida itakua imesharudi[emoji16]
 

Juzi kati Nimeulizia madalali bei ya pango. nimeambiwa kwa mwezi mmoja bei ya frem moja ni ml.1 manayake kama ana fremu 30 kwa mwaka ana m360 ashindwi kuwapoza viongozi wenye tamaa
 
Hata kambi ya jeshi Mbagala vigogo washajimegea wamejenga baa, ya yadi ya magari

Kumbe na wewe umeliona hilo! yani hua nikipita yale maeneo naishia kusikitika na kutikisa bichwa langu[emoji15][emoji15]
 
Mwendazake alikuwa akiwatokomeza mnamlaumu,haya Sasa.
 
Ninapita pale Kila siku na ninajiuliza Kila siku yaani Kuna watu wababe aiseee na ninadhani mfumo wetu uko hoi sana na anzia kwenye pale kwenye soko la zakihem hazifunguliwa kumbe Kuna wajanja walishanikabidhi kabla ya kuwapa wale waliokuwepo k
Mwanzo akili za ccm na serikali yake zimekwama kitambo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…