Mwamba amekuta mafundi wanaiba cement hii ndio adhabu aliowapa

Mafundi wengi ukiwasimamia kazi mwenyewe kazi haiendi ondoka uone
 
Haifai kuwafanyia hawa maskini huu ukatili, weka sawa usimamizi utakao ondoa ushawishi wa wizi.
Utakuta labda yeye mwenyewe ni fisadi lililokubuhu huko serikalini au kwenye biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…