Mwamba ametusaliti wana Simba, Karma haitakuacha salama

Mwamba ametusaliti wana Simba, Karma haitakuacha salama

Mleta mada sio mwanachama wala shabiki wa simba wala mpenzi wa mpirawa miguu, ni muhuni tu.
 
Kusema ukweli huyu mchezaji alikuwa ndio kipenzi cha wana Simba, yaani mwamba tulikupenda sana lakini ndio hivyo tena.
Tulikupa ufalme wa soka la nchi hii, tukakuimba na kulitaja jina lako kila mahali..

Kati ya timu zote duniani umekosa timu ya kwenda paka kuamua kwenda kwa hawa maadui zetu utopolo??

Sisi sio pipozi tutakutana...........
Life is change , watu wanatafuta maisha hakuna anayejali kuhusu wewe unajisikiaje Bali wanajali maisha Yao baada ya Leo wataishije Anything can happen at anytime that's the meaning of life
 
Back
Top Bottom