Mwamba Donald trump, hacheki na yeyote.

Hacheki ktk lipi sasa? Mm sijaelewa mkuu.
 
Ameshafanya maamuzi huko somalia, kwa magaidi waliojificha
 
Kufa sio hoja ,ila anagusa sehemu mbaya kwa usalama wake.
Na wewe ni nani hapo USA mkuu

Trumpol anafanya kwa ajiri ya masilahi ya Wamarekani na si vinginevyo, ikitokea amekufa, atakufa kwa ajiri ya watu hao hao

Nyinyi endeleeni kuwapamba na kuwa machawa wa viongozi majizi na wala rushwa kwenye nchi zenu
 
Ni majukumu. Unapokuwa mkubwa aidha Kwa utajiri, madaraka huwa majukumu ni makubwa sanaaa na hasa kama unajitambua hata tabasamu unalazimisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…