Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 999
- 1,898
Wamarekani ni watu wasiojitambua wanaongozwa na wale mayahudi ,yaani hawana uhuru kweny nchi yao ...Wamejazwa jeshini ili wakapambanie wenye pua ndefu🤣🤣Na wewe ni nani hapo USA mkuu
Trumpol anafanya kwa ajiri ya masilahi ya Wamarekani na si vinginevyo, ikitokea amekufa, atakufa kwa ajiri ya watu hao hao
Nyinyi endeleeni kuwapamba na kuwa machawa wa viongozi majizi na wala rushwa kwenye nchi zenu