Mwamba huyu hapa 'Bambo' ni muigizaji mkongwe sana nchini Tanzania 🇹🇿

Mwamba huyu hapa 'Bambo' ni muigizaji mkongwe sana nchini Tanzania 🇹🇿

Kuna Goma moja bambo ni video king na style yake ile ya kucheza hilo Goma jipya sijui linaitwaje wakuu
 
Bambo, mtanga na kingwendu halafu kuna joti na mpoki kipindi kile cha ze comedy wakiigiza kama baba na mwana, no facebook, no tiktok no instagram walifanya tuishi kwa furaha na umoja japokuwa tulikuwa masikini.
 
Back
Top Bottom