Mwamba huyu hapa Eric Crumble

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Eric Crumble (amezaliwa Disemba 10, 1966) ni bondia wa zamani wa Marekani, na akiwa ni mmoja wa mabondia maarufu kwa kupigwa mapambano 31 kwa mtindo wa KO.


Tangu acheze kwa mara ya kwanza mnamo Juni 22, 1990, Crumble ameshiriki katika mapambano 32 na amepoteza mapambano yote isipokuwa pambano moja la No Contest mnamo 1994. Zaidi ya hayo, KO zake zote zimetokea kwa katika raundi ya kwanza au ya pili.

MWAMBA HUYU HAPA ERIC CRUMBLE
 
Usikute alikuwa anajilegeza makusudi, hataki kichwa chake kipigwe pigwe, anakubali k.o ya mapema anakusanya mpunga wake, maisha yanaendelea.
 
Kabila gani huyu jamaa, sura ya kizungu, ngozi ya kiAfrika?
 
Mpigaji huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…