Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafanana na peresu peresu 🤣🤣🤣Eric Crumble (amezaliwa Disemba 10, 1966) ni bondia wa zamani wa Marekani, na akiwa ni mmoja wa mabondia maarufu kwa kupigwa mapambano 31 kwa mtindo wa KO.
View attachment 3223022
Tangu acheze kwa mara ya kwanza mnamo Juni 22, 1990, Crumble ameshiriki katika mapambano 32 na amepoteza mapambano yote isipokuwa pambano moja la No Contest mnamo 1994. Zaidi ya hayo, KO zake zote zimetokea kwa katika raundi ya kwanza au ya pili.
MWAMBA HUYU HAPA ERIC CRUMBLE