WENGINE TUMEPEWA KAZI YA KUELEKEZA, NA WEWE NJOO UFUNDISHWE UELEWE KWAMBA KUTOA TAKO LAKO NI MAKOSA NA KUTUMIA TAKO LA MWENZAKO NI MAKOSA PIA
1 WAKORINTO 6:9-11
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu."