Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
- Thread starter
-
- #21
Nina wasi wasi anayo ajenda mbadala na sio kuupinga, jaribuni kumsikiliza vizuri na kuisoma lugha ya mwili mtagundua hayupo serious kabisa.
Ila muda utaongea.
Shida sana mamiii...!
But nani katupa sisi binadamu haki ya kuhukumu binadamu wengine?,tako lake shida ipo wapi?Watetezi wa ushoga na usagaji ni wengi mnooo
Kuna watu wengi sana wa aina ya ya mke wa Lutu siku hizi. Huwezi kuwajua kama ni mashoga au wasagaji hadi watakapogeuka nyuma kuutetea na kuwa mnara wa chumvi
Mungu atusaidie sana
But nani katupa sisi binadamu haki ya kuhukumu binadamu wengine?,tako lake shida ipo wapi?
Umeongea kwa hisia sna. NakubaliHana umwamba wowote, anatafuta pa kutokea baada ya kuwa bench kitambo.
Makonda na upumbavu wake wote alipopinga ushoga hawa wote hawakuthubutu kufungua midomo, waliufyata kimya.
Kaona topic ya ushoga ina trend sasa kaona na yeye atokee hapo hapo akiwa na imani ili kunyamazishwa ataitwa apewe kitengo maana serikali yetu inayotegemea ruzuku ya misaada ya wahamasisha ushoga wakuu haiwezi kujihusisha na kupinga ushoga.
Si kila mpinga ushoga anauchukia wengine ni kutafuta pakutokea tu. Mwanasiasa sio mtu wa kumuamii hata akiwa baba yako mzazi.
Akipewa wadhifa atabadilika kama sio yeye na hata sketi atavaa kuonyesha mshikamano na makuchu.
But nani katupa sisi binadamu haki ya kuhukumu binadamu wengine?,tako lake shida ipo wapi?
Umeongea kwa hisia sna. Nakubali
Iam sorry umenijibu kwa ku QUOTE vitu vilivyoletwa kwenye maisha yangu, mimi ni muumini wa mizimu yangu n Sina uwezo wa kuhukumu watu wengineWENGINE TUMEPEWA KAZI YA KUELEKEZA, NA WEWE NJOO UFUNDISHWE UELEWE KWAMBA KUTOA TAKO LAKO NI MAKOSA NA KUTUMIA TAKO LA MWENZAKO NI MAKOSA PIA
1 WAKORINTO 6:9-11
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu."
Iam sorry umenijibu kwa ku QUOTE vitu vilivyoletwa kwenye maisha yangu, mimi ni muumini wa mizimu yangu n Sina uwezo wa kuhukumu watu wengine