Mwamba huyu hapa

Sure mkuu juzi kati nimelewa nikaropoka stori na mzee fulani nilikuwa tunabadilishana mawazo najuuta sana.
Ndo ivo ukiwaka inabidi uidhibiti akili yako haswa, sio kila pahala ni kuropoka tu.

Walevi wazoefu huwa tunafaidi sana na kupata madini mengi kwa watu wenye hulka ya namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…