Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ndo ivo ukiwaka inabidi uidhibiti akili yako haswa, sio kila pahala ni kuropoka tu.Sure mkuu juzi kati nimelewa nikaropoka stori na mzee fulani nilikuwa tunabadilishana mawazo najuuta sana.
Walevi wazoefu huwa tunafaidi sana na kupata madini mengi kwa watu wenye hulka ya namna hiyo.