Mwamba wa Hiphop halisi, Saigon 'Treach' wa iliyokuwa D.P.T ana masahibu gani hivi?

Wsimjui KBS

Naona malegend mnashuka tu Maelezo yake

Huyo ni nguli wa kitambo na hakuwahi kuchuja. walikuwa crew yao ikiitwa Diplomatz likitamkwa Tha De-Plow-Matz (DPT) lilikuwa kundi la muziki wa hip hop lililotamba sana katika miaka ya tisini. Kundi linaundwa na Saigon (Saleeh Mzee), balozi Dolasoul (Ahmed Dola), Trip Dogg (Philip Mwinmanji) na Storm (Amour Shamte) na meneja wao Nkwessa. Awali nyimbo zao walikuwa wanaimba Kiingereza tu. Baadaye wakawa wanaimba Kiswahili huku wakitia maneno ya Kiingereza katika mistari yao.
 
Nimekaa na Saigon mwaka jana kati kati, nilichogundua jamaa hana Kichwa kizuri cha kunywa kilevi (Double Kick) analewa sana hadi anaanza kugombana na watu, ni basi tu tunamuheshimu na tunajua sio akili yake ndo tunamkimbia kuepesha Shari.

Ila kwa jicho la tatu ni mtu mwenye majuto na stress za hatari sana, na pia kuna kiashiria kwa mbali kwamba pombe haimtaki, haiwezi (Kichwa Panzi) kwani akiacha pombe tu anakua mtu Poa sana.

Pia miaka ile ya nyuma kipindi cha EATV 2007-09 aliachishwa Kazi kwa sababu tu ya pombe akinywa akili zinaruka anaanza kuzingua ile isiyovumilika kabisa.

Namuombea Mwenyezi Mungu ampe tena nafasi nyingine ya kujirudi na kuachana na vyote vinavyomshinda na kumptezea nguvu, maarifa na Heshima yake.

Bado tunamdai vingi kwenye game letu la hip hop...
 
Sana aisee mi sio mhenga ila hawa jama walinifanya niipende sana hiphop na makundi kama kwanza na zavara wao.
 
Asante kwa Maelezo mazuri
 
Dah,
E bwana dah,
E bwana dah,
E bwana oi oi,
Kalinye kalinye episode,
Again,Yaan tena,
 
Sifa za "we mkali mwanangu noma" na [emoji1477] zinawaponza sana vijana, wanajiona wanajua sana halafu hakuna wanachopata.

Kisha huamua kususa na kujifanya maustadhi, huku akili haikubali uhalisia.

Mwingine ni Maalim Nash MC.

Uchebe chaka a.k.a Zuzu. Maalim Nash wa Mitihani.

-Kaveli-
 
Sifa za "we mkali mwanangu noma" na [emoji1477] zinawaponza sana vijana, wanajiona wanajua sana halafu hakuna wanachopata.

Kisha huamua kususa na kujifanya maustadhi, huku akili haikubali uhalisia.

Mwingine ni Maalim Nash MC.
Huyo Nash ni mswahili mno.
 
Sifa za "we mkali mwanangu noma" na [emoji1477] zinawaponza sana vijana, wanajiona wanajua sana halafu hakuna wanachopata.

Kisha huamua kususa na kujifanya maustadhi, huku akili haikubali uhalisia.

Mwingine ni Maalim Nash MC.
Achana na maalim nash anadund kama kawa.
 
Nilipata miito miwili kwa pamoja, ama kwenda milima ya Himalaya kuwa Buddhist monk, ama kwenda Wall Street kwenye mifumo ya mabenki ya dunia.

Nikaamua kwenda Wall St.
Kiranga una link ya hizi ngoma za zamanj za wabongo wanao rap kizungu?
 
E Bwana dah....oooh.oi..oi....banana dah!...nakumbuka mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…