mwambaze humu jf?

mwambaze humu jf?

Finyango ya Nguku

New Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Hello great thinkers, habari zenu wote! Ndo nimeingia hv jukwaani , baada ya kupitia topics mbalimbali nimebaini kuwa jf ni forum ya ukweli kbs, na hatimae nikajongea tartibu kabisa, your cooperation will be highly appreciated. Asante sana!
 
Karibu sana JF mkuu Finyango ya Nguku, kwa niaba ya JF napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha kwa mikono miwili hapa jamvini!!! ila hilo jina lako mmhh!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom