Mwambe: Tusisubiri CCM idhoofike ndio CHADEMA tuonekane imara, tujipange sasa kwa mabadiliko

Mwambe: Tusisubiri CCM idhoofike ndio CHADEMA tuonekane imara, tujipange sasa kwa mabadiliko

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Nimekutana na hii taarifa huko mitandaoni mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema akiwasa wapenda mabadiiliko wajipange kuanzia sasa.

Mgombea huyo amesema uimara wa Chadema kamwe hautatokana na udhaifu wa CCM bali mipango na mikakati waliyojiwekea ya kutwaa dola na kuleta mabadiliko. Hivyo makamanda wanapaswa kuwa na mipango enelevu na inayoshawishi wananchi kuanzia sasa.

Saa ya ukombozi ni sasa

Maendeleo hayana vyama!
 
Mbona anaongea kwa tahadhari ili asiwaudhi wafadhiri wake ccm,

Kazi ya chadema ni kuitoa ccm madarakani, hayo sijui kuimarika na kutokuimarika ni mbwembwe tu.
Sasa utaitoa CCM madarakani na Chadema hii ya akina Mashinji?!
 
Kwa faida ya CCM ni bora ya DJ akaendelea kuiongoza Chadema kuliko aingie kiongozi Mpya ndani ya Chadema mwenye mitazamo na msimamo thabit. DJ anamapungufu mengi kiasikwamba CCM wanapata nafasi ya kuishinda Chadema kwa hoja kwakua Chadema haiendeshwi kama taasisi bali kikundi cha DJ na watuwake wa karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona anaongea kwa tahadhari ili asiwaudhi wafadhiri wake ccm,

Kazi ya chadema ni kuitoa ccm madarakani, hayo sijui kuimarika na kutokuimarika ni mbwembwe tu.
Kwanini kuna chuki kwa Jamaa sababu ya kugombea Uenyekiti wakati ni chama cha demokrasia. Au kweli tatizo ni kuwa, hana kabila sahihi?
 
Mbowe akiona hii pressure juu,aangalie wasije wa kamchachawangwe,maaana hiyo saccos mmh!

Back
Top Bottom