Mwambe: Tusisubiri CCM idhoofike ndio CHADEMA tuonekane imara, tujipange sasa kwa mabadiliko

Membe amefanyiwa booking na chadema
hapana mkuu ni wa muhimu sana kwetu chama tawala, ndiyo maana tunataka atwambie kulikoni mbona katususa kivile hadi katibu mkuu analalamika kutotembelewa na Membe ofisini
 
"Saa ya ukombozi ni sasa" ni salamu za chama cha DP kilichokuwa kinaongozwa na marehemu mchungaji Christopher Mtikila.

Kama hayo maneno aliyasema mwambe alipaswa kubwagiza kwa " people's" wao wamjibu " power".
Viongozi wanasahau salamu za vyama ni hatari chamani, Lowassa akiwa CHADEMA alikuwa akijisahau na kusalimia wanachadema kwa salamu za chama chake cha mapinduzi.
 
Salamu ya peoples power aliondoka nayo Dr Slaa!

Sasa mmebaki na salamu ya bwana asifiwe!
 
Hapati kitu huyu ni ccm. Huwezi kosa ubunge ccm ukaja CDM ukapata uenyekiti. Hiyo asahau, m,,,,,,,,v,,,,,,,,,,i zake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni nyumbu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Sumaye alituaminisha hivyo... Kumbe ni wabomoaji wa chama
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…