Back in old days
Nilikuwa chuo kpind hicho sasa mpenz wangu tulikuwa tuko kwenye mechi amenikumbatia yupo chin nipo juu akaniuliza je nikipita mimba hapo npo ktk ya mechi maana alikuwa na wasiwasi kwelikweli hata sjui ulikuwa wa nini [emoji3]nikamwambia utalea mwenyewe kiutani. akanisukuma huko kwa nguvu kumbe alikuwa serious