Mwambie huyo rafiki yako anikome………………..!

na mimiii naendaaaa kumtongozaaa mkeweee ngomaa iwee drooooo....ila wanawake banaaa we unazanii angempendaaaa angekwambiaaaaaa
 
Madamex, Unaweza kukaa nyumba isiokuwa na wageni???????

Utajisikiaje kwa mila na taratibu zetu?????????

Na nyie msiwalete Rafiki zenu nyumbani, Looooh Ni nyumba ya aina gani hiyo??????

TUJIHESHIMU na TUHESHIMU MIPAKA YA NDOA ZETU
 
hapo mkuu tutabishana mpaka asubuhi,mwanamke wa kukutamkia haya maneno ni mchonganishi kizabinazabina,ukimuendekeza atakuchonganisha na ndugu.
Never entertain hii tabia mkuu.

Mbona sioni tunachopishana BishangaBashaija?

Comment yangu ilikuwa inajibu kama pia ni sawa mwanamume kushtakia wabinti wanaomuwekea mitego ya hapa na pale!!

Babu DC!!
 

Mkuu Rutashubaback,
Kwenye red and bold sio fair Mkuu, atakwambiaje katongozwa na Bramo, au Babu DC etc ilhali hao kina Bramo wewe huwajui, Mkeo atakuwa Mwehu kama akikwambia kila aliyemtongoza bila kujali kama huyo mtongozaji wewe Mumewe humjui, ila kwa Rafiki yako, its fair Mkeo/gf wako akwambie, asipokwambia kwa Bahati mbaya ukazipata kwenye another source, itakuwa Balaa zaid, assume msela wako wa karibu anamtongoza wife/gf wako, wife/gf wako anakaa kimya even though kamtolea nje mtongozaji, bahati mbaya mtu mweingine say X, Kaona msela wako akitongoza (Kutongoza hakujifichi kaka, ukiwa unaongea na demu huku ukimtongoza ni rahis sana mtu mwingine kung;amua)
na kaamua kukwambia, we utamchukulia wife/gf wako?????
 
Mkuu, muulize kwanza yeye alichukua hatua gani alipotongozwa. She is not a baby and you don't have to take actions for her. If she was not happy with it, what did she do/say there and then to make it clear?
Then baada ya kujua hayo ndio utapanga sasa wewe ufanyeje. You have to work as a team and align your actions. sio yeye aamue kusahau na kuendelea kama kawaida huku wewe umepanga kuvunja urafiki wenu (or vice versa).
 
na mimiii naendaaaa kumtongozaaa mkeweee ngomaa iwee drooooo....ila wanawake banaaa we unazanii angempendaaaa angekwambiaaaaaa
B'REAL,do you mind kubadilisha avatar yako,wanetu wanaingia humu ati!
 
Last edited by a moderator:
Mbona sioni tunachopishana BishangaBashaija?

Comment yangu ilikuwa inajibu kama pia ni sawa mwanamume kushtakia wabinti wanaomuwekea mitego ya hapa na pale!!

Babu DC!!
samahani mkuu,kanokia torch kangu kalichanganya mambo wakati wa kusoma na kujibu.
 
Bramo!
 
Last edited by a moderator:
Ushauri wangu, wanaume muwe mnawasikiliza wanawake wenu wakilalamika juu ya hili jambo kwenu. Msidharau as mara nyingi men wanadharau na wengine hata kuwa. Wajinga kwenda kumwambia muhusika na kumpa nafasi ya yeye kujitetea na kumshusha woman wako chini.

At the end of the day nani anachoreka? Sijui ni kwanini ila wanaume wengi wana wivu wa wanawake wa wenzo esp akiwa anauzaidi wa alie nae. Wakiwa wanaona mapenzi anayopewa, kucare etc wao hawapati kwa wao basi shida.

Wengi wanaowaamini women wao wengine wanaweka mitego ya woman wake kujifanya anataka nae na kukamatwa mji ume akiwa anadhani siku hiyo ndo atapata.
 
wewe unaona ni rahisi kwa rafk kutokufika nyumbani?
Ikiwa kuna uwezekano huo ni bora, ukiwa na rafiki hasa na mmeshibana utajua kama anavitabia vya kupenda kukodolea wanawake macho.

Hawa wa design hii ni bora usimfikishe au kutoa introduction kwa mkeo, bora nusu shari kuliko shari kamili.
 
hao wote usiowajua wanaomtongoza kakuambia, au huyu anakuambia vile hamtaki...!!! anajisafisha kwako umuone mtakatifu sana. mwanamke ukitongozwa huko, hakuna sababu ya kumwambia mumeo/mpenzio japo najua wako wengi wenye kuropoka hovyo wakitongozwa wakidhani wenzi wao watawaona wana mvuto sana.
Kutongozwa mwanamke ni kitu cha kawaida kabisa lakini huna sababu ya kukivalia njuga.
 
Madamex, Unaweza kukaa nyumba isiokuwa na wageni???????

Utajisikiaje kwa mila na taratibu zetu?????????

Na nyie msiwalete Rafiki zenu nyumbani, Looooh Ni nyumba ya aina gani hiyo??????

TUJIHESHIMU na TUHESHIMU MIPAKA YA NDOA ZETU

Naweza kuishi bila matatizo, matatizo yanaanza when you let others dictate how you should live. Ndugu wa mume sina budi nao, aah marafiki sina ulazima, I can live without them.
 

Hapo umenena.......................
 
Ni kuwa makini kidogo, wanawake saiv akipigiwa cm anadhan katongozwa. Usipokuwa na hekima, utamuuliza rafiki yako na kama si kweli UJUE UMEVUNJA URAFIKI NA BECT YAKO KWA UBOYA NA WIVU WAKO. Utanikumbuka.
 

Sasa jukumu la mwanaume si kutongoza jamani isipokua dada na mama yako, na mwanamke ni kutongoza! Sasa hapo kazi kwa mwanamke kukataa au kukubali! Kwani unataka kusema huyo rafiki yako ni yeye wa kwanza kumtongoza? huo utakua unafiki tuuuuu! hana jipya, tena mwanamke akitongozwa ni angalau na wewe unajua mke wako anamvuto! Mwanamke anakaa mwezi, mwaka hajatongozwa huyo atakua mzima kweli? si lazima na wewe mwanaume ujiulize, yan kweli umempenda peke yako tu? Lazima kuna walakini? au utakua humpigi pamba mkeo ndo mana hatongozwi, au hajui kujiweka kimahaba! Mwanamke mvuto bana, sasa kama anatongozwa anasema basi ujue kashakuona we ****!
 

Duh., mimi sijui nitachukua hatua gani asee, I just can't imagine asee
 
me ntamwambia"na wewe ukome kuja kunambia"...y acmwambie mwenyewe alipomtongoza?hivi kweli na akili zangu ntaanza 2 kumvaa rafiki yangu eti umkome mke/mume wangu?daaah hapana mtambuzi labda niwe na akili za KICHINA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…