Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo mkuu tutabishana mpaka asubuhi,mwanamke wa kukutamkia haya maneno ni mchonganishi kizabinazabina,ukimuendekeza atakuchonganisha na ndugu.
Never entertain hii tabia mkuu.
maandiko matakatifu yanasema ya kuwa ushahidi wa mtu mmoja hauna nguvu mashahidi lazima wawe wawili au zaidi ya hapo......................kwa hiyo ushahidi wa mwandani wangu kamwe sitaufanyia kazi hadi pale atakapolewta shahidi wa pili.......au zaidi..................na isitoshe ni wangapi wanamtongoza na iwaje huyu tu amtaje kama siyo uchonganishi tu?
samahani mkuu,kanokia torch kangu kalichanganya mambo wakati wa kusoma na kujibu.Mbona sioni tunachopishana BishangaBashaija?
Comment yangu ilikuwa inajibu kama pia ni sawa mwanamume kushtakia wabinti wanaomuwekea mitego ya hapa na pale!!
Babu DC!!
Bramo!Mkuu Rutashubaback,
Kwenye red and bold sio fair Mkuu, atakwambiaje katongozwa na Bramo, au Babu DC etc ilhali hao kina Bramo wewe huwajui, Mkeo atakuwa Mwehu kama akikwambia kila aliyemtongoza bila kujali kama huyo mtongozaji wewe Mumewe humjui, ila kwa Rafiki yako, its fair Mkeo/gf wako akwambie, asipokwambia kwa Bahati mbaya ukazipata kwenye another source, itakuwa Balaa zaid, assume msela wako wa karibu anamtongoza wife/gf wako, wife/gf wako anakaa kimya even though kamtolea nje mtongozaji, bahati mbaya mtu mweingine say X, Kaona msela wako akitongoza (Kutongoza hakujifichi kaka, ukiwa unaongea na demu huku ukimtongoza ni rahis sana mtu mwingine kung;amua)
na kaamua kukwambia, we utamchukulia wife/gf wako?????
Ikiwa kuna uwezekano huo ni bora, ukiwa na rafiki hasa na mmeshibana utajua kama anavitabia vya kupenda kukodolea wanawake macho.wewe unaona ni rahisi kwa rafk kutokufika nyumbani?
Madamex, Unaweza kukaa nyumba isiokuwa na wageni???????
Utajisikiaje kwa mila na taratibu zetu?????????
Na nyie msiwalete Rafiki zenu nyumbani, Looooh Ni nyumba ya aina gani hiyo??????
TUJIHESHIMU na TUHESHIMU MIPAKA YA NDOA ZETU
hao wote usiowajua wanaomtongoza kakuambia, au huyu anakuambia vile hamtaki...!!! anajisafisha kwako umuone mtakatifu sana. mwanamke ukitongozwa huko, hakuna sababu ya kumwambia mumeo/mpenzio japo najua wako wengi wenye kuropoka hovyo wakitongozwa wakidhani wenzi wao watawaona wana mvuto sana.
Kutongozwa mwanamke ni kitu cha kawaida kabisa lakini huna sababu ya kukivalia njuga.
ndoa ngumu......
Mwambie yule rafiki yako asipende kunizoea, mwambie mimi siyo Malaya. Yaani mtu anajidai wewe ni rafiki yake, halafu anakuja kunitongoza !
Hebu tuchukulie kwamba kauli hiyo anaitoa mkeo au mpenzi wako Je wewe utachukuwa hatua gani .?
Mwambie yule rafiki yako asipende kunizoea, mwambie mimi siyo Malaya. Yaani mtu anajidai wewe ni rafiki yake, halafu anakuja kunitongoza !
Hebu tuchukulie kwamba kauli hiyo anaitoa mkeo au mpenzi wako Je wewe utachukuwa hatua gani .?