Mwambie mdogo wako anaenda shule kusomea taaluma sio kazi, anaweza kusoma uhasibu akawa dobi

Bonge la ujumbe kwa wanachuo! Yote uliyoyataja niliyakuta aisee!

Chuoni kunaitwa AKILI KUMKICHWA.
 
Mwambie wahadhiri (Lecturers) wa kitanzania wanatamaa ya ngono hivyo akiwa mvivu darasani basi atafeli na ili apewe Marks itabid awe tayari kumvulia chupi kila muhadhiri ambao wengi wao wagonjwa
madamu bahati -Mkuu hapa umefanya kitu mbaya sana, kutahadharisha ni kitu kimoja na kujumlisha watu wote ni kitu kingine. Binafsi umeniangusha-nawafahamu wengi tu ambao huku hawamo.
 
NENDA KAMWAMBIE!!

Mkumbushe mwanao, ndugu au rafiki kuwa maisha ya CHUO sometimes ni kama BONGO MOVIE watu wengi huigiza. Hata yule wa SONGEA vijijini atasema kwao DAR ES SALAAM.

1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi...Anaweza somea Ualimu akawa muuza Karanga au boda boda

2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.wapo watu wenye elimu kumzid yeye ila hawana ajira. Hata wenye ajira bado maisha magumu/msoto

3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi.... Wapo walio kuwa wanashika nafas za kwanza darasan ila leo Wanazidiwa uchumi na wenzao walio onekana hawana akili

4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea kijijini au wilaya iliyo duni, tena kule ndanindani... Hivyo asijikweze ili aonekane

5. Mwambie Marafiki wa chuo hubadilika kila baada ya semester. Kuendelea kung'ang'ania wale wa awali ataisoma namba. Akumbuke chuo ndiko mlokole hujifunza kwenda Club, kulewa na kuvaa nguo za ajabu

6. Mwambie makundi makundi chuoni humaliza hundi mfukoni. Atapata marafiki wapenda starehe. Pesa zake zitaisha

7. Mwambie Boom huwa linakuja ila Laki5 ya chuoni sio Laki5 ya nyumbani, hela ya chuoni huisha haraka na bila mpangilio hivyo awe makin ktk matumiz yake

8. Mwambie chuoni hakuna. NDOA ila kuna uzinzi.. Hivyo aachane kubeba majukum ya ndoa ikiwa kaenda kusoma. Mwambie kuishi kiunyumba na girl au boy kama wana ndoa sio ujanja ila ni ulimbuken na kesho ataumbuka

9. Mwambie awe na msimamo na asikurupuke kuanzisha mahusiano chuon ikiwa nyumban ana mtu anae mpenda kwa dhat.. Chuon kuna watu wapo kuharibu Malengo ya wengine awe makini

10. Mwambie Chuoni kuna Makanisa na Misikiti. Wanafunzi ni zaidi ya 1000 lakini waumini ni wachache. Akumbuke kusali.

11. Mwambie kama ni wa kike kuwa aridhike na hali ya nyumban. Asifikirie kutafuta SPONSOR ili kupunguza ugum wa maisha .. Atajiingiza ktk matatizo makubwa

12. Mwambie kuwa asiwadharau watu alio soma nao nyuma kisa hawajapata nafas kufika chuo.. Siku akimaliza chuo wapo atao wakuta wana biashara kubwa hivyo watampa kibarua

13. Mwambie Simu na nguo za gharama ni muhimu lakini sio lazima... Hivyo asipende tumia vibaya pesa ambayo anapewa kwa awamu mana siku atazikumbuka akimaliza masomo

14. Mwambie marafiki wanaokuwa naye kipindi hana hela asiwasahau... Awaepuke marafik wanafik wanao mfundisha kutafuta wanawake au wanaume

15. Mwambie chuoni ni sehemu ya kutengeneza Connection na watu muhimu, akae mbali na watu wasio msaada kwake

16. Mwambie chuoni kuna watumishi wanao jiendeleza..husoma huku wakiendelea kupokea mshahara wengi wao ni waume na wake za watu.. baadhi yao ndo wanao tumia pesa zao kulaghai mabint na vijana

17. Mwambie pia baada ya kumaliza chuo haina maana amefanikiwa maisha. Hapa ndipo msoto mpya unapoanzia. Anapowaona kaka na dada zake wamemaliza chuo ila wapo tu mtaan asifikir ni wazembe ila bado wanahangaika kutafuta ajira.

18. Mwambie Maisha ni mafupi sana Adumu kumcha Mungu na kufanya mambo mazurii, Lastly Asimdharau mtu yeyote. Akumbuke na azingatie kuwa kuna maisha baada ya chuo.

Asijisahau sana maana mtaani kugumu. Mabinti wenye DEGREE wana amua kuolewa na vibabu nao vijana kutembea na wazee sababu ya kukosa ajira.

Atambue kuwa leo hii dreva boda boda au bajaji ana uhakika wa kuilisha familia yake kila siku kuliko muhitimu wa chuo kikuu. Hivyo asiwe na dharau kuwa hawez olewa na mtu mwenye elimu ya chini

Pia akumbuke sio kila dreva au konda hajasoma, watu wana vyeti vyao na ufaulu mzuri.

MUNGU AWAONGOZE KATIKA NJIA ILIYO SAHIHI NA AWAPE UJUZI UTAKAOWASAIDIA HATA KAMA WAKIKOSA AJIRA...!!!!!
 
Hii meseji nime Copy kwenye Pdf naenda ku print kisha naiweka kwenye Ukuta Kwenye chumba machali flan hivi Kenge hawaa maana kila tukiwaambia wanona sisi ndo tumebugi maisha.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Umeandika vitu konki.kuna jamaa ana degree kutoka udsm Ila tupo nae kitaani ni dereva bodaboda
 
1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi.

2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.

3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi.

4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena kule ndanindani.

5. Mwambie Marafiki wa chuo hubadilika kila baada ya semester. Kuendelea kung'ang'ania wale wa awali ataisoma namba.

6. Mwambie semester1 atakuwa na wapenzi wengi sana ila atumie kinga kwa gharama yoyote ile.

7. Mwambie makundi makundi chuoni humaliza hundi mfukoni.

8. Mwambie Boom huwa linakuja ila Laki5 ya chuoni sio Laki5 ya nyumbani.

9. Mwambie chuoni atakutana na semina mbalimbali za ujasiriamali ila chaajabu kila mtu anauza ubuyu na kalamu. Ajaribu bahati yake.

10. Mwambie ajiandae kupokea lawama na hata kuachana na yule mpenzi wake aliyemwacha nyumbani.

11. Mwambie wahadhiri (Lecturers) wa kitanzania wanajua kila kitu na wako juu ya sheria hivyo kama ni wa kike ajifunze kusali.

12. Mwambie Chuoni kuna Makanisa na Misikiti. Wanafunzi ni zaidi ya 1000 lakini waumini ni wachache. Akumbuke kusali.

13. Mwambie kama ni wa kike,marafiki zaidi ya 3 hatoweza kudumu nao. Watagombana tu.

14. Mwambie kwa "Kapuku",kila mtu huwa anataka kuwasaidia wazazi awapo chuoni lakini kuna nyakati inakuwa nje ya uwezo wetu.

15. Mwambie Simu na nguo za gharama ni muhimu lakini sio lazima.

16. Mwambie marafiki wanaokuwa naye kipindi hana hela asiwasahau.

17. Mwambie chuoni ni sehemu ya kutengeneza Connection na watu muhimu.

18. Migomo na mihemuko yenye uhovu aviepuke maana si kila aliyeko chuon amekuja kusoma bali wengine ndo wako kazin

19. Mwambie zile bata alizokuwa akiskia zikibadilika asishangae.

20.Mwambie pia baada ya kumaliza chuo haina maana amewin maisha. Hapa ndipo msoto mpya unapoanzia

21. Mwambie Maisha ni mafupi sana Adumu kumcha Mungu na kufanya mambo mazurii, Lastly Asimdharau mtu yeyote.

IKIKUFAA IFANYIE KAZI
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Avoid to be sadist, kwani hamna mazuri ya kumwabia?
 
Umesema vyema kabisa na ni muhimu wahusika wakazingatia Yale umesema.
 
Ukiwa na mawazo kama hayo wewe jiandae tu kufa, maisha is kuwa positive na kuamini katika bidii.
 
Wasisahau kubet kwan ndo njia nzuri ya kujipatia kipato unaweza ishi ka mfalme ukiwa na odds za maana kila week
 
1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi.

2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.

3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi.

4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena kule ndanindani.

5. Mwambie Marafiki wa chuo hubadilika kila baada ya semester. Kuendelea kung'ang'ania wale wa awali ataisoma namba.

6. Mwambie semester1 atakuwa na wapenzi wengi sana ila atumie kinga kwa gharama yoyote ile.

7. Mwambie makundi makundi chuoni humaliza hundi mfukoni.

8. Mwambie Boom huwa linakuja ila Laki5 ya chuoni sio Laki5 ya nyumbani.

9. Mwambie chuoni atakutana na semina mbalimbali za ujasiriamali ila chaajabu kila mtu anauza ubuyu na kalamu. Ajaribu bahati yake.

10. Mwambie ajiandae kupokea lawama na hata kuachana na yule mpenzi wake aliyemwacha nyumbani.

11. Mwambie wahadhiri (Lecturers) wa kitanzania wanajua kila kitu na wako juu ya sheria hivyo kama ni wa kike ajifunze kusali.

12. Mwambie Chuoni kuna Makanisa na Misikiti. Wanafunzi ni zaidi ya 1000 lakini waumini ni wachache. Akumbuke kusali.

13. Mwambie kama ni wa kike,marafiki zaidi ya 3 hatoweza kudumu nao. Watagombana tu.

14. Mwambie kwa "Kapuku",kila mtu huwa anataka kuwasaidia wazazi awapo chuoni lakini kuna nyakati inakuwa nje ya uwezo wetu.

15. Mwambie Simu na nguo za gharama ni muhimu lakini sio lazima.

16. Mwambie marafiki wanaokuwa naye kipindi hana hela asiwasahau.

17. Mwambie chuoni ni sehemu ya kutengeneza Connection na watu muhimu.

18. Migomo na mihemuko yenye uhovu aviepuke maana si kila aliyeko chuon amekuja kusoma bali wengine ndo wako kazin

19. Mwambie zile bata alizokuwa akiskia zikibadilika asishangae.

20.Mwambie pia baada ya kumaliza chuo haina maana amewin maisha. Hapa ndipo msoto mpya unapoanzia

21. Mwambie Maisha ni mafupi sana Adumu kumcha Mungu na kufanya mambo mazurii, Lastly Asimdharau mtu yeyote.

IKIKUFAA IFANYIE KAZI
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Wamesikia
 
Back
Top Bottom