Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*DADA* alienda Salon wakati anasukwa akaingia *MKAKA* mtanashati, *DADA* akaamua kujaribu bahati yake.
*DADA*: Mambo?
*KAKA*: Poa.
*DADA*: Mimi na wewe tunaweza kuongea baade?
KAKA:Kuhusu nini?
*DADA*: Nimekupenda nataka nikutoe out.
*KAKA* Sawa ila nitamwambia nini MKE wangu?
*DADA*: Aah ilo sio tatizo mdanganye tu,mwambie unakwenda kumtembelea rafiki yako hospitalini.
*KAKA* Mwambie mwenyewe huyo hapo anayekusuka.
Unajua nn kiliendelea?
Subiri ni chaji cm nakuja