Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Utakuwa umeuza kura yako kwa hao majambazi, haiwezekani kipindi kama hiki muhimu kumchinja Magu uibiwe kadi yako ya kupigia kura !Nimeibiwa kadi yangu yampiga kura na ccm roho inauma sana
ccm wanaojitambua watampa LissuNa bahati mbaya zaidi.
narudia tena.
NA BAHATI MBAYA ZAIDI KWENU
Hamkuwahamasisha watu wenu kwenda kujiandikisha/kurekebisha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura, mlikuwa bize kutengeneza matukio ya kuvunjana miguu ili muisingizie serikali lakin mambo yakawageuka, sasa mnategemea hao wapiga kura wanatoka wapi, au na hili mnategemea YUENI kupitia BIBISII waje wawaongelee?
Ni kigumu sana na kisichowezekaaccm wanaojitambua watampa Lissu
Mataga wengi watampa kura lissu.Ni kigumu sana na kisichowezekaa
Hakuna wakati ambao CCM huwa wana ushirikiano na mshikamano kama kipindi cha uchaguziMataga wengi watampa kura lissu.
Mataga wengi watampa kura lissu.
Ni kweli kabisa ndio maana mnashirikiana kusomba watu na wanafunzi kwenye maroli. Huu umoja na mshikamano wa usombaji ni dalili njema kwa chama.Hakuna wakati ambao CCM huwa wana ushirikiano na mshikamano kama kipindi cha uchaguzi
Njaa haina chama, kwa hiyo njaa iliyotuchapa kwa miaka mitano itatufanya tusiipe kura CCM. Wale mataga wa ngazi za juu ndio waliofaidika mno maana wana majumba ya kifahari na magari ya kifahari. Ila wale wa ngazi za chini hawawapi kura ccm.i hope hatutalia tumeibiwa kura zikiwa chache
matumaini mengi hadi tunajitoa fahamu[emoji3]
Umati wa watu unaomsubiri barabarani Raisi wa mioyoni mwa Watanzania huwa wanasombwa na nani kuletwa hapoNi kweli kabisa ndio maana mnashirikiana kusomba watu na wanafunzi kwenye maroli. Huu umoja na mshikamano wa usombaji ni dalili njema kwa chama.
Huko unapopaita ngazi za chini ndio kuna mamilioni ya kura za CCM sasaNjaa haina chama, kwa hiyo njaa iliyotuchapa kwa miaka mitano itatufanya tusiipe kura CCM. Wale mataga wa ngazi za juu ndio waliofaidika mno maana wana majumba ya kifahari na magari ya kifahari. Ila wale wa ngazi za chini hawawapi kura ccm.
Unasombwa na madereva wa malori pamoja na wenyeviti wa kamati ya usombaji wa kila kata na wilaya. Pia maagizo kutoka juu kwa waalimu kusomba wanafunzi.Umati wa watu unaomsubiri barabarani Raisi wa mioyoni mwa Watanzania huwa wanasombwa na nani kuletwa hapo