Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Huko ngazi za chini hakuna kura yoyote. Ndio maana ccm kwa kushtukia hilo wameona wafanye figisu za kuzuia watu kugombea ili watu wapite bila ya kupingwa. Pia imebidi msimu huu wazuie waandishi na mitandao kutoa habari za wapinzani ili taarifa zisifike ngazi za chini.Huko unapopaita ngazi za chini ndio kuna mamilioni ya kura za CCM sasa
Chama chako ndio maana kinafanya figisu nyingi.
Ila ujumbe utafika tu.