BwanaSamaki012
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 212
- 250
Habari Wakuu!
Ufugaji wa samaki ni utamaduni/maarifa mapya hivyo watu wengi wanastruggle sana kupata taarifa sahihi juu ya njia bora ya kufanya ufugaji wa samaki kibiashara
Mimi ni mtaalamu wa ufugaji wa samaki ninatoa huduma zifuatazo ambazo ili kusaidia jamii kukuza uelewa na mwisho kufikia malengo yako ya mafanikio katika sekta hii ya ufugaji samaki
1. Uuzaji na Uzalishaji wa Vifaranga Bora vya Samaki (Sato na Kambale)
• Hakikisha unapata vifaranga wenye ubora wa hali ya juu kwa ajili ya kuanzisha au kuboresha mradi wako.
2. Usimamizi na Uendeshaji wa Miradi ya Ufugaji Samaki
• Nitakusaidia kusimamia miradi yako ili kuhakikisha inaleta tija na faida kubwa zaidi.
3. Kuandika Mpango wa Biashara kwa Miradi ya Ufugaji Samaki
• Fanya mradi wako kuwa wa kisasa kwa mpango wa biashara unaolenga mafanikio na ukuaji wa muda mrefu.
4. Mafunzo (Training) ya Ufugaji Samaki Kibiashara
• Kwa wale wanaotaka kuongeza maarifa na ujuzi wa kitaalam katika ufugaji wa samaki, natoa mafunzo maalum ili kuongeza tija kwenye mradi wako.
5. Ubunifu na Uundaji wa Mfumo wa Ufugaji Samaki
• Ninabuni na kutengeneza mifumo mbalimbali kama vile mabwawa, matanki, na vizimba (cages) kwa ajili ya ufugaji wa kisasa wenye ufanisi.
Ikiwa unahitaji huduma yoyote kati ya hizi, usisite kuwasiliana na mimi moja kwa moja
Call/WhatsApp: +255758779170
Karibu tufanye kazi pamoja, kufanikisha ufugaji wa samaki wenye tija