Mwambie umpendae neno hapa

Mwambie umpendae neno hapa

gango2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
1,956
Reaction score
2,274
Wadau,

Hapa ni mahala pa kufunguka, sema neno lolote kumwambia yule ambae umekuwa ukimpenda saana lakini umeshindwa kumwambia kwa namna yoyote, au ulishamwambia lakini akakutolea nje. Either kazini, kitaa, ofisini au hata hapa.

Maliza hapa! labda atapita siku atakuja kuona ujumbe wako, vema ukataja na jina lake.
 
Tangu nikwambie Nina Deni vikoba simu Zangu hunipokeleii baby 😳😳😳😳😳
Nipo hapa Nakusubiria
 
Back
Top Bottom