byongo
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 827
- 1,945
I would have stayed if you said we would have made things okay....
Wadau,
Hapa ni mahala pa kufunguka, sema neno lolote kumwambia yule ambae umekuwa ukimpenda saana lakini umeshindwa kumwambia kwa namna yoyote, au ulishamwambia lakini akakutolea nje. Either kazini, kitaa, ofisini au hata hapa.
Maliza hapa! labda atapita siku atakuja kuona ujumbe wako, vema ukataja na jina lake.