Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,401
- 2,336
Popote ulipoooo nshaandika jina lako huku.Khaa yaani hakuna hata mmoja aliyeniambia neno hapa? Nyie wanaume wote nawapiga kibuti leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Popote ulipoooo nshaandika jina lako huku.Khaa yaani hakuna hata mmoja aliyeniambia neno hapa? Nyie wanaume wote nawapiga kibuti leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma post za juu kidogo
Hahaa umeandika baada ya mimi kusema haihesabiwi hiyoSoma post za juu kidogo
Hahaha,sawa lakini haibadilishi niliyoyaandika. Na nmeyaandika kwa utulivu kweli, hebu yakubali basi na wweeee nini lakini!!![emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hayana uzito[emoji4]Hahaha,sawa lakini haibadilishi niliyoyaandika. Na nmeyaandika kwa utulivu kweli, hebu yakubali basi na wweeee nini lakini!!![emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hahahaah. Asante. u hali gani mate? Na Smart911 Tunakusalimu in Jesus name [emoji113]Mimi nampenda classmate wangu tu mahondaw najuta kumfahamu huku jf. Japokuwa kipindi kile nilikuwa mdomo mzito sana ila sasa nishavunja mizigo yote
nakupenda sana classmate
asione smart911
baby ile pesa haijafika .. i miss u