Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Jomoni si una namba yangu nitext tu ..mm mwenyewe nimekumiss cheupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha wote,i lavu yuWivu sio dawa ujue...
Usinambie nifunge na kufunga kabisa
Lakini mi najua kitu kizuri kula na mwenzio.Unanidhalilisha ujue...
I lavu yu moo
OK...namkubali sana .....kiingereza chake kabla ya kuanza kusoma huwa naandaa paracetamol ....vile inanisaidiaga mwishoni
Kwahiyo we uko tayari kuliwa?Lakini mi najua kitu kizuri kula na mwenzio.
Ona sasa,tumeachana mwezi ulopita unanitaka tena?Kwahiyo we uko tayari kuliwa?
Maana najua una nyama nzuri na tamu...
Kizuri si mtu hula na nduguye??Ona sasa,tumeachana mwezi ulopita unanitaka tena?
Nilijisahau...[emoji12]Kizuri si mtu hula na nduguye??
Afu nani alikuambia mahawara wanaachana??
Nani alikudanyanya mke anatongozwa?
Ndio ujumbe kwa Shem?Hamna.