Mwambie x wako nimepata mtu niliyemuhitaji

Mwambie x wako nimepata mtu niliyemuhitaji

moto wa maji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
4,151
Reaction score
2,979
Amani iwe nanyi

Comment hapa kwamba umepata uliyemuhitaji ili utoe hayo ya chini ya moyo ,naanza Mimi

X Nimepata niliyemuhitaji
 
Kama uko kwenye mahusiano na bado unamuwaza ex heri umrudie tu manake Ni umeshindwa kumsahau, Ni kujiaibisha wewe na mtu wako
Historia ya kihisia huwa haifutiki kirahisi ,wanaokwambia wamesahau kwa muda mfupi ni waongo kabisa
 
Nyuzi nyengine bhana si bora mimi nikarudia tule tunyuzi twangu twa kikomamanga..
 
Mi si dhaifu km wewe ambae uko hapa kumdolishia ex badala ya kuenjoy penzi lako jipya,
Maandiko yenyewe yanasema waliotudharau wanaisoma namba unadhani kwa namna gani? Wewe unajificha sababu huna uhakika na mpenzi wako ndio maana
 
Back
Top Bottom