moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,151
- 2,979
Ex, nimepata niliyemhitaji.Amani iwe nanyi
Comment hapa kwamba umepata uliyemuhitaji ili utoe hayo ya chini ya moyo ,naanza Mimi
X Nimepata niliyemuhitaji..
Historia ya kihisia huwa haifutiki kirahisi ,wanaokwambia wamesahau kwa muda mfupi ni waongo kabisaKama uko kwenye mahusiano na bado unamuwaza ex heri umrudie tu manake Ni umeshindwa kumsahau, Ni kujiaibisha wewe na mtu wako
Watajua wenyewe kuliko kutajaEx, nimepata niliyemhitaji.
Tuwataje jina OP au watajua wenyewe?
Zimefanyaje mkuu..?Nyuzi nyengine bhana si bora mimi nikarudia tule tunyuzi twangu twa kikomamanga..
Okay.Watajua wenyewe kuliko kutaja
Kama huwezi kusahau ni wewe tu mkuu, Usitujumuishe wote kwenye hisia zako dhaifu,Historia ya kihisia huwa haifutiki kirahisi ,wanaokwambia wamesahau kwa muda mfupi ni waongo kabisa
mnatiana maneno na mademu zenuAmani iwe nanyi
Comment hapa kwamba umepata uliyemuhitaji ili utoe hayo ya chini ya moyo ,naanza Mimi
X Nimepata niliyemuhitaji....
Wote waliosahau kilichowaangusha walikirudia Tena...wa kwanza weweKama huwezi kusahau ni wewe tu mkuu, Usitujumuishe wote kwenye hisia zako dhaifu,
Kivipi Tena mkuu?
Hahhaaha,....baki baki shahada hivyo hivyo mkuuNimebaki mpweke kama mjane
Mi si dhaifu km wewe ambae uko hapa kumdolishia ex badala ya kuenjoy penzi lako jipya,Wote waliosahau kilichowaangusha walikirudia Tena...wa kwanza wewe
Maandiko yenyewe yanasema waliotudharau wanaisoma namba unadhani kwa namna gani? Wewe unajificha sababu huna uhakika na mpenzi wako ndio maanaMi si dhaifu km wewe ambae uko hapa kumdolishia ex badala ya kuenjoy penzi lako jipya,
Naumia mkuu..upweke mbaya sanaHahhaaha,....baki baki shahada hivyo hivyo mkuu
Tafuta mwingine mkuu ,mbona wako weng sanaNaumia mkuu..upweke mbaya sana
Hahahaha uwe na jioni njema Sina muda wa kujibizana kuhusu 'ex'Maandiko yenyewe yanasema waliotudharau wanaisoma namba unadhani kwa namna gani? Wewe unajificha sababu huna uhakika na mpenzi wako ndio maana