Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Serikali imeanza kusambaza mahindi ya msaada kwenye maeneo yenye njaa kwa bei ya unafuu! wakati huo huo malori yaliyobeba shehena ya mahindi kutoka Rukwa, Katavi, Mbeya na Ruvuma yanavuka mipaka ya Holili na Silali, kwenda Kenya, lakini hakuna mahindi au mchele unaotoka Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia na Congo unaoingia Tanzania, ni ukurung'unzu, kuendelea kujaza maji kwenye pipa linalovuja!