Mwambieni Haji Manara asijivishe U-mungu

Huyo anategemea kupiga domo ndio aende chooni wewe jiulize ktk klabu ya yanga kuna afisa habari wa timu ambaye jukumu lake ni kufanya press conference zinazohusu chama ambae ni hassan bumbuli lakini nafasi yake imebakwa na haji manara ndo kawa msemaji wa timu sasa jiulize majukumu ya msemaji wa timu ni yapi na ya afisa habari ni yapi
 
Mwijaku atimize ahadi yake kwanza akisaidiwa na nyinyi mashabiki mbumbumbu then ndio aje kujibizana na Manara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba ilipigwa tano na al ahly na yeye mwenyewe ndo alikua wakwanza kufurahia na kusema hamsa

Huyo alikua snitch tangu muda, simba imepoteza mashindano kikanuni lakini sio kwa kufungwa kama wao

Kilichotokea hapa kinaweza kutokea kwa club yeyote kubwa, ilikua barcelona kwa liverpool sembuse simba?
 
Alipokuwa simba mlimpamba sana, sasa hivi ndio mnamuona roporopo[emoji2297][emoji2297]
Hili bomu mlililea wenyewe acha awalipukie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alipokua simba mlimponda sana, tena nyinyi mlifika stage mnam edit kavaa shela anaolewa na morrison, now yuko kwenu zimebaki record tu
 
Alipokua simba mlimponda sana, tena nyinyi mlifika stage mnam edit kavaa shela anaolewa na morrison, now yuko kwenu zimebaki record tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulieni awalipukie vizuri.
 
Simba inafungwa kwa kuzidiwa mbinu au uzembe wa wachezaji na sio kwamba taarabu za manara zina changia timu kutofanya vizuri

Analalamika kufukuzwa simba kua haikua fair at the same time kwenye press na waamdishi wa habari ana jigamba kua hajawahi kuipenda simba alikua anafanya vile kwa ku act, mtu kama huyu tumueleweje?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulieni awalipukie vizuri.
Sawa ila mimi nahakika hapo yanga hapatakua kama wengi mnavyopaona

Ujio wa manara umetengeneza matabaka, na ni mbaya zaidi kufanya kazi na kundi hilo ambalo haliwezi kukubali manara awe mhimili tegemezi pale yanga

Hii comment itunze kwenye notepad utaitumia kama reference siku zijazo, ila tambua kua manara pale yanga anakubalika na gsm tu kwasababu ya kimaslahi nje ya club.
 
Watanzania wengi wanaamini huo upuuzi wake wa Karma na takataka nyingine za aina hiyo.

Hili si suala la Manara peke yake
Karma haitawaacha salama Simba..ndegelec
 
Kuna watu bado mnamfuatilia huyo msukule?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…