Mwambieni Haji Manara asijivishe U-mungu

Juzi imetolewa Tuzo ya mhamasishaji bora wa ligi na TFF kwa hiyo wanatambulika rasmi.
 
Alipokuwa simba mlimpamba sana, sasa hivi ndio mnamuona roporopo[emoji2297][emoji2297]
Hili bomu mlililea wenyewe acha awalipukie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatujalea bomu sie ndio maana tulimtimua
 
Sawa tutamwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…