Mwambieni Haji Manara atoe ahadi nyingine inayopendwa hasa ile inayopendwa na Mende

Binadamu anapenda sana starehe, hasa starehe ya kupata watoto.Ahadi ya hela sisi sio ishu, toa ahadi, sisi wengine tunapenda tabia ya mende.

Toa ahadi endapo Yanga haitofunga mabao manne siku hiyo ya trh 8 basi utatoa ile apendayo mdudu Mende.
Astakafuraaaaaaaah unataka kuwa mende
 
Binadamu anapenda sana starehe, hasa starehe ya kupata watoto.Ahadi ya hela sisi sio ishu, toa ahadi, sisi wengine tunapenda tabia ya mende.

Toa ahadi endapo Yanga haitofunga mabao manne siku hiyo ya trh 8 basi utatoa ile apendayo mdudu Mende.
Mbona kwake hiyo nyepesi tu, ni jinsi mtakavyotaka nyie wenyewe.
 
Kwa hiyo mnataka kufa goli nne moja au mbili haziwatoshi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…